Ulichosema kina maana ni kweli si kila mtu atajua kila kitu, na ujinga wa mtu mwingine unaweza kuwa nafasi ya mwingine kujifunza au kufaidika. Lakini ni vizuri kila mmoja awe na bidii ya kujiendeleza ili siku moja asiwe mtaji wa ujinga wa mwingine bila kujijua. Maisha ni kujifunza kila sikuHata uwachukue maprofesa 100 uwaweke sehemu moja kwa wiki tuuu
kuna baadhi watakuwa na ujinga ujinga ......... maishani hatulandani ni muhimu ukajiongeza uwezavyoo huenda ujinga wa mwenzio ndo mtaji wako
Tunakubaliana kabisa 💯! Bora uchelewe kuamka kuliko kubaki usingizini kwenye mtego wa unafiki100%
Hapo umenena! Maana akili ikishawashwa, ‘data za kweli’ zinaanza kudownload na hapo ndo watu wanakimbia kama umewasha spotlight kwenye giza lao.100%
Hapo tumeelewana! Maana siyo kila anayekupigia makofi anakutakia mema, wengine walikuwa tu wakinufaika na ‘giza’ lako."Sahihi kabisaaa, naunga mkono hojaa
Narudia tena,Hapo tumeelewana! Maana siyo kila anayekupigia makofi anakutakia mema, wengine walikuwa tu wakinufaika na ‘giza’ lako."
"Ukiwa mjinga, wengi wanakutabasamia; ukiamka, wengine wanaumia. Ndio maana maneno huwa na uzito kwa wanaojua thamani ya kujitambua."maneno kuntu kabisa.
Kama hujafungua akili zako, utapotea hata ukiwa na kundi kubwa. Nyumbu si wajinga kwa kuwa wengi ni kwa kuwa hawataki kufikiri.Angalia wale wanyama 'nyumbu' mmoja akifanya jambo baya au zuri wote wanamfuata liwe la hatari au salama, kisa ni ujinga wa kutofungua akili zao na kutaka kujua.
Mfano wako wa nyumbu ni somo tosha. Maamuzi ya wengi siyo kila mara ni maamuzi sahihi usipofungua akili zako, utaishia kurithi makosa kwa jina la ‘kufuata wenzako’."Kama hujafungua akili zako, utapotea hata ukiwa na kundi kubwa. Nyumbu si wajinga kwa kuwa wengi ni kwa kuwa hawataki kufikiri.
Ukitafakari kweli, utajua ni wangapi walikunyemelea si kwa mapenzi, bali kwa ujinga wako. Huko ndiko kuamkaNarudia tena,
Uko sahihi kabisa mwambaaa
Umenifanya nitafakari mnoo
Bora unge_LIKE tu, kwani ulichoandika na nilichoandika tofauti yake ni ipi?.Kama hujafungua akili zako, utapotea hata ukiwa na kundi kubwa. Nyumbu si wajinga kwa kuwa wengi ni kwa kuwa hawataki kufikiri.
Kabisa tena utagundua ulikuwa hauna marafiki zaidi ya kupeHabari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia
Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi:
"Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani yako, kujiamini, na kutambua ukweli kuhusu maisha yako na watu wanaokuzunguka.
"Ndio siku ambayo utachukiwa" – kwa sababu utabadilika, hutakuwa tayari tena kutumiwa, kudanganywa, au kudharauliwa.
"Na watu waliokuwa wananufaika na ujinga wako" – ni wale waliokuwa wanakutumia, waliona unavyokosa msimamo au kujielewa, hivyo walinufaika kupitia wewe bila kujali maslahi yako.
Kwa kifupi, ujumbe huu ni onyo na tahadhari, lakini pia ni msukumo wa kuamka kiakili na kijamii, hata kama utapoteza watu waliokuwa karibu nawe.
Unapopata akili, unatakiwa kuwa tayari kukubali kupoteza baadhi ya watu ili ujipate wewe mwenyewe.
Kabisa tena utagundua ulikuwa hauna marafiki zaidi ya kupe