Naam, ndivyo ilivyo kwa kuwa wengi utaka uwe na mitazamo kama ya kwao,na hiyo upelekea watu kuchukiana,magomvi nk,,lkn we ni kubaki na msimamo wako,kuna watu wanajuta hadi sasa wamezeeka,tokana tu na kwamba walifata maoni au mitazamo ya wengine.,mfano kuna walokuwa mabinti walitoka kwenye ndoa zao kwakufata tu ushauri wa ndugu au wazazi wao.Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia
Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi:
"Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani yako, kujiamini, na kutambua ukweli kuhusu maisha yako na watu wanaokuzunguka.
"Ndio siku ambayo utachukiwa" – kwa sababu utabadilika, hutakuwa tayari tena kutumiwa, kudanganywa, au kudharauliwa.
"Na watu waliokuwa wananufaika na ujinga wako" – ni wale waliokuwa wanakutumia, waliona unavyokosa msimamo au kujielewa, hivyo walinufaika kupitia wewe bila kujali maslahi yako.
Kwa kifupi, ujumbe huu ni onyo na tahadhari, lakini pia ni msukumo wa kuamka kiakili na kijamii, hata kama utapoteza watu waliokuwa karibu nawe.
Unapopata akili, unatakiwa kuwa tayari kukubali kupoteza baadhi ya watu ili ujipate wewe mwenyewe.
Kuna kitu ambacho zamani tulikuwa tunasema ''uhusiano wa kihindi'', tukiwa na maana kuwa watanzania wengi wenye asili ya kihindi huwezi kuona (kwa hali ya kawaida) wana watanzania weusi kama marafiki wa karibu. Wale ambao ni marafiki wa karibu, ''urafiki'' wao unaunganishwa na mhindi kupata maslahi fulani kutoka kwa mweusi. Hili haliko kwa wahindi tu, hata watu weusi tuko hivyo. Ukiwa na uwezo, unakuwa na marafiki wengi, ukifulia, wanakimbia. Jambo la msingi ni kutokuwa na msimamo mkali kwenye mahusiano i.e. usichukulie kila mtu anataka kuwa karibu na wewe kwa maslahi.Hapo tumeelewana! Maana siyo kila anayekupigia makofi anakutakia mema, wengine walikuwa tu wakinufaika na ‘giza’ lako."
Ujinga una gharama kubwaNaam, ndivyo ilivyo kwa kuwa wengi utaka uwe na mitazamo kama ya kwao,na hiyo upelekea watu kuchukiana,magomvi nk,,lkn we ni kubaki na msimamo wako,kuna watu wanajuta hadi sasa wamezeeka,tokana tu na kwamba walifata maoni au mitazamo ya wengine.,mfano kuna walokuwa mabinti walitoka kwenye ndoa zao kwakufata tu ushauri wa ndugu au wazazi wao.
Kabisa mkuu umenena vyemaUjinga una gharama kubwa
Nilishuhudia haya kwa Bi makubwa wangu hata akiolewa tena na tena Huwa hawachi kusema "hakuna kama fulani kwenye Dunia hii" akilejerea mzee wangu
Nyie masley kwiiin wapya mjini chungeni mahali mlipo Karma is the bitch