SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

Naam, ndivyo ilivyo kwa kuwa wengi utaka uwe na mitazamo kama ya kwao,na hiyo upelekea watu kuchukiana,magomvi nk,,lkn we ni kubaki na msimamo wako,kuna watu wanajuta hadi sasa wamezeeka,tokana tu na kwamba walifata maoni au mitazamo ya wengine.,mfano kuna walokuwa mabinti walitoka kwenye ndoa zao kwakufata tu ushauri wa ndugu au wazazi wao.
 
Hapo tumeelewana! Maana siyo kila anayekupigia makofi anakutakia mema, wengine walikuwa tu wakinufaika na ‘giza’ lako."
Kuna kitu ambacho zamani tulikuwa tunasema ''uhusiano wa kihindi'', tukiwa na maana kuwa watanzania wengi wenye asili ya kihindi huwezi kuona (kwa hali ya kawaida) wana watanzania weusi kama marafiki wa karibu. Wale ambao ni marafiki wa karibu, ''urafiki'' wao unaunganishwa na mhindi kupata maslahi fulani kutoka kwa mweusi. Hili haliko kwa wahindi tu, hata watu weusi tuko hivyo. Ukiwa na uwezo, unakuwa na marafiki wengi, ukifulia, wanakimbia. Jambo la msingi ni kutokuwa na msimamo mkali kwenye mahusiano i.e. usichukulie kila mtu anataka kuwa karibu na wewe kwa maslahi.
 
Ujinga una gharama kubwa

Nilishuhudia haya kwa Bi makubwa wangu hata akiolewa tena na tena Huwa hawachi kusema "hakuna kama fulani kwenye Dunia hii" akilejerea mzee wangu

Nyie masley kwiiin wapya mjini chungeni mahali mlipo Karma is the bitch
 
Ujinga una gharama kubwa

Nilishuhudia haya kwa Bi makubwa wangu hata akiolewa tena na tena Huwa hawachi kusema "hakuna kama fulani kwenye Dunia hii" akilejerea mzee wangu

Nyie masley kwiiin wapya mjini chungeni mahali mlipo Karma is the bitch
Kabisa mkuu umenena vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…