Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

Na yeye pia alitoa ndio akatoka?

Binti anaenda studio na kimini na amebana matako kisha anaimba kwa sauti nzuri kama ya Nandi, kubinua mdomo na kurembua macho ni rahisi kwa Mwanaume Producer kumtamani na kuamua kumuanza kabla hajajulikana zaidi na kufanywa na wengine.

Mazingira pia yanachangia, producer ana studio nyumbani kwake Binti anaenda kurekodi hadi usiku na wanabaki wawili tu yeye na Producer, ni rahisi kunjunjana huko hata kila siku.

Ndio maana wazazi walikuwa wanawagomea mabinti zao sio kwamba hawataki wavume.
Jasiri Muongoza njia kaosha sana Lungu lake pale. Huyo alianzia kuwa mtangazaji clouds. Ni vile tu Ruge alianza kuona wabichi zaidi ya Judith Wambura.
 
Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike!

Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu!

Salam ziwafikie:
Waziri wa Habari na Michezo
Takukuru
BASATA

Swali ni je; anaowatetea ni kweli wanaombwa au wanajilengesha wenyewe?

MJUMBE HAUWAWI!

View attachment 1486134
View attachment 1486136
I'm Sorry JD ila Mabinti kama unavyosema bila kuchezewa mwili hawatoboi ni kweli ,hata kipindi cha nyuma kulikuwa na Tetesi kwamba Late Boss Ruge ulilala nae room moja South kwenye Tu(n)zo za Kora!! Kwahiyo Boss Ruge alikuwa anakuchapa nao na ndio ukawa msanii wa Smooth Vibes!!
 
Yeye mwenyewe alito....na Ruge. Tena amesahau kule South kwenye tuzo za Kora alilala room moja na Ruge ?Ama kweli Nyani haoni kundu lake. Yaani ni yale yale sema zama tofauti. Huyu na Ray C, Ruge jasiri muongoza njia kawalala sana. Ila Ruge kafaidi sana. Kina Zamaradi, Lina, Mwasiti sijui Recho wote hao Jasiri alitembeza ndoano yake. Kaja kamalizia kwa Nandy. Isingekuwa kifo sijui nani angekuwa next.
Hadi Mwasiti naye kachezea Rungu? Iwe kweli kama wanavyosema wataalamu Ukiwa unatumia "MBAAZI" inakuwa ngumu kumuambukiza mtu la sivyo ni KAZEZE ni KAZEZE.
 
Hadi Mwasiti naye kachezea Rungu? Iwe kweli kama wanavyosema wataalamu Ukiwa unatumia "MBAAZI" inakuwa ngumu kumuambukiza mtu la sivyo ni KAZEZE ni KAZEZE.
Pale kutoka ilikuwa ni mpaka umseduce jasiri muongoza njia.
 
Kubakwa ni kubakwa..na kupigwa kwa kupenda ni kupigwa tuu.

Yeye anazungumzia wanaopigwa ili watoke, anasahau nayeye alipigwa sana tuuu enzi izo, sasa yuko kwa Age ambayo akipigwa pigwa ni dharau kwake, sasa anaamua kujitia Mtoa ushauri.

Ni ngumu mno, mwanamke aliyepigwa pigwa anayepigwapigwa mechi za ndani na nje, akawa mkemeaji sahihi na mbadilishaji, Badiliko huanzia kwako.
Sawa baba basi kemea wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm Sorry JD ila Mabinti kama unavyosema bila kuchezewa mwili hawatoboi ni kweli ,hata kipindi cha nyuma kulikuwa na Tetesi kwamba Late Boss Ruge ulilala nae room moja South kwenye Tu(n)zo za Kora!! Kwahiyo Boss Ruge alikuwa anakuchapa nao na ndio ukawa msanii wa Smooth Vibes!!
ooohhhhh hivyo kumbe mlalamikaji nae kapanda kwa ngono?
 
Wakibakwa tu hapo ndiyo itakuwa shida lakini Kama wameombwa na wakatoa aaaah mbona mswano! Kama hawataki kutumia nguvu ya K basi watumie nguvu ya pesa kwani wasanii wa kiume wanatoboaje? Halafu huyo Jaydee mwenyewe amesaidia wasanii wangapi wa kike ili kuonesha support?
 
Yeye mwenyewe alito....na Ruge. Tena amesahau kule South kwenye tuzo za Kora alilala room moja na Ruge ?Ama kweli Nyani haoni kundu lake. Yaani ni yale yale sema zama tofauti. Huyu na Ray C, Ruge jasiri muongoza njia kawalala sana. Ila Ruge kafaidi sana. Kina Zamaradi, Lina, Mwasiti sijui Recho wote hao Jasiri alitembeza ndoano yake. Kaja kamalizia kwa Nandy. Isingekuwa kifo sijui nani angekuwa next.
Khaaa...!!!

Mpuuzi kawafunua kwelikweli...
 
Aahhh sasa toka lini , aliyepigwa weeeeee, leo anaibuka kuwaonya wengine? Si ndo wivu huo.

Wakuyaongea hayo alifaa ambaye naye harakat zake zakutoka hakua anapigwa pigwaa.Ndio nitapata mtoto wakike, lkn tabia zake zitafanana na za Mama yake.

Ikiwa mama yake ni mpigwaji nje, bila shaka mtoto naye atapigwa nje.

Ni suala la Malezi na Mtu anayempa hayo malezi.
Mkuu ongea kwa kubakiza akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom