Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Jasiri Muongoza njia kaosha sana Lungu lake pale. Huyo alianzia kuwa mtangazaji clouds. Ni vile tu Ruge alianza kuona wabichi zaidi ya Judith Wambura.Na yeye pia alitoa ndio akatoka?
Binti anaenda studio na kimini na amebana matako kisha anaimba kwa sauti nzuri kama ya Nandi, kubinua mdomo na kurembua macho ni rahisi kwa Mwanaume Producer kumtamani na kuamua kumuanza kabla hajajulikana zaidi na kufanywa na wengine.
Mazingira pia yanachangia, producer ana studio nyumbani kwake Binti anaenda kurekodi hadi usiku na wanabaki wawili tu yeye na Producer, ni rahisi kunjunjana huko hata kila siku.
Ndio maana wazazi walikuwa wanawagomea mabinti zao sio kwamba hawataki wavume.