Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.
Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."
Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)
Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).
Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).
Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.