Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)
Nakusahihisha
Hakukejeli alieleza hali halisi ya huduma za afya kuzorota
 
Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.

Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."

Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)

Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).

Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).

Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.
Mbona una uelewa finyu, mtoto wa miaka 3 au 5 kupoteza maisha, hapo kuna tatizo.
Mzee wa miaka 70 kupoteza maisha, tena usingizini, si ajabu sana.
 
Dongo linawahusu mpaka members wa jf mnaompinga
Mama 😄

Ova
 
Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.

Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."

Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)

Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).

Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).

Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.
Ngoja nikurekebishe kidogo. JKN alisema kuwa "ana nguvu na ataendelea kuishi na atamshuhudia Rais wa awamu ya Nne akiingia madarakani" Tamko hilo ni la kiburi na hakumpa Mungu utukufu. Ndipo Mwenyezi Mungu akasema "Mpumbavu wewe kwa maana hujui kuwa uhai wako upo ktk mikono ya Bwana saa yoyote akitaka anauchukuwa". Haikuchukuwa muda akaaga dunia. Tujifunze kumheshimu Mungu na kumpa utukufu.
 
Namtetea JK Ile kauli hakumaanisha viongozi waliotangulia ni kama alitaka kusema uchawi haupo ndio tafsiri sahihi ya kauli yake hayo mengine ni uchonganishi wenu wa kijinga.
 
Ile kauli mimi sikuielewa tangu siku ille kwani ilionyesha kujisifu kwa kuishi miaka mingi. Msikilize vizuri kama unaweza pata clip yake.
Na akaongezea kua yeye ana uhakika UHAKIKA wa kumuona rais wa awamu ya 4
 
Sio lazima ataje majina.
Hapana.

Asipotaja majina anaacha mwanya wa mtu yeyote aliyefiwa na ndugu yake, mzazi wake, rafiki yake, kujiona labda kalengwa yeye kuambiwa mtu wake aliyekufa ni mchawi.

Mfano, hapo kuna Hussein Mwinyi kafiwa na baba yake.

Mzee Ali Hassan Mwinyi naye kafariki.

Hussein Mwinyi kaachiwa swali, je, Mzee Ali Hassan Mwinyi naye ni mmoja wa hao wachawi waliokufa?
 
Ngoja nikurekebishe kidogo. JKN alisema kuwa "ana nguvu na ataendelea kuishi na atamshuhudia Rais wa awamu ya Nne akiingia madarakani" Tamko hilo ni la kiburi na hakumpa Mungu utukufu. Ndipo Mwenyezi Mungu akasema "Mpumbavu wewe kwa maana hujui kuwa uhai wako upo ktk mikono ya Bwana saa yoyote akitaka anauchukuwa". Haikuchukuwa muda akaaga dunia. Tujifunze kumheshimu Mungu na kumpa utukufu.
Umenikumbusha na bila shaka ilikuwa no katika hiyo hotuba yake ya birthday yake.
 
Aisee Magufuli kawafanya watu mpka leo wamuongeleee hakika kafanya kilicho bora
 
Back
Top Bottom