Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe ndiye huelewi hata mtu akisema kwa huruma unaona anakejeli.Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.
Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."
Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)
Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).
Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).
Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.
Nyerere ana cha kujibu kuongoza nchi ambayo ina mortality kubwa sana kwa watoto. Pale alikuwa anajuta kwamba hajafanya kazi nzuri.
Na mtu akifa miaka zaidi ya 10 baada ya life expectancy ya nchi yake, huyo hana cha kujutia.
Some Tanzanians have a very weird sense of propriety.
Huyo Kikwete akili hazimtoshi siku nyingi alishawahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni masikini akasema hajui.