Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

Ile kauli mimi sikuielewa tangu siku ille kwani ilionyesha kujisifu kwa kuishi miaka mingi. Msikilize vizuri kama unaweza pata clip yake.
Labda tuna usikilizaji tofauti ila mi niliposikia naona ni kama anahuzunika kuona watoto wadogo nao wanakufa tofauti na wewe unavyosema anajisifu kuishi miaka mingi. Nyerere hawezi kuwa mtu wa ovyo kiasi hicho cha kujisifia kuishi sana na kukejeli wanaokufa wakiwa wadogo.
 
Kauli ya Mwalimu haikuwa mbaya alikuwa anasikitika kwa vifo vya watoto wadogo si zaidi ya hapo lakini kauli ya Kikwete na ile ya Makamba kuwa watu wazuri hawafi moja kwa moja ni kuwakejeli wenzao ndani ya CCM waliotangulia mbele ya haki na bila kupepesa macho aliyelengwa ni Magufuli . Ni wakati sisi wa kanda ya ziwa tuonyeshe hasira yetu kwa hawa mafedhuli.
 
Kwani Kikwete alisemaje mkuu, nisaidie kauli aliyosema.
 
Sasa utajuaje hajafika October wakat utatangulia wew na hamtaonana maana ataingia VIP wewe mzunguko
 
Maembe mchawi wa tec angetumika kuleta mgobea wao
 
Ambaye amesoma hii huu uzi na kutoka kapa kama mimi anigongee likes tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…