Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

Wewe ndiye huelewi hata mtu akisema kwa huruma unaona anakejeli.

Nyerere ana cha kujibu kuongoza nchi ambayo ina mortality kubwa sana kwa watoto. Pale alikuwa anajuta kwamba hajafanya kazi nzuri.

Na mtu akifa miaka zaidi ya 10 baada ya life expectancy ya nchi yake, huyo hana cha kujutia.

Some Tanzanians have a very weird sense of propriety.

Huyo Kikwete akili hazimtoshi siku nyingi alishawahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni masikini akasema hajui.
 
mmmmh! Sijasikiliza ila kauli tata..moja ya masikitiko nyingine ya kejeli..sasa naanza kuamiani kuna watu waliotangulia walifanyi...!
 
Mwenyezi Mungu ametuumba na kutupangia muda wa kuishi, uzembe wetu pia unaweza kusababisha tusifikishe huo muda wakuishi tuliopangiwa na mwenyezi Mungu.
 
Naweza sema namuunga mkono aliyesema, 'kwa nini watoto wadogo wanakufa" narudia tena kwa nini mtoto mdogo afariki?.

Wenzetu nchi zilizopiga hatua kufariki mtoto inachukuliwa serious na serikali inafuatilia kwa undani ili mradi alipozaliwa na kuruhusiwa hospitali alikuwa buheri wa afya.

Sisi huku Afrika ndiyo kama hivi tunaona kifo cha mtoto ni sahihi na ni sawa kabisa 😢!.

Mwanadamu (mtoto) anazaliwa aje kuishi duniani na apambane na sceneries zote hadi ule umri wa taabu na majuto iweje leo mnasema mtoto kufa ni haki yake?.

NO!.
 
Nashangaa mtu kumsema Nyerere. Nyerere alikuwa anasikitika.

Kikwete kasema kauki ya aibu sana. Inaonekana ameweka maumivu ya kukataliwa urais na Nyerere alivyogombea mara ya kwanza, kuengukiwa kwenye urais alivyogombea na Mkapa na uhasama wa kuandamwa na Magufuli.

Ndiyo maana kasema wachawi wameshakufa.

Tatizo ni kauli ya kijinga kwa sababu hata wasio wachawi wanakufa. Mtu kama Mwinyi ambaye hakuwa na uhasama naye, ambaye mtoto wake wanaenda kumpitisha kuwa rais wa Zanzibar, naye baba yake amekufa.

Such a stupid statement.

Tanzania mtu anaweza kuwa waziri miaka kibao, waziri wa mambo ya nje miaka 10, mpaka rais na mwenyekiti wa CCM, akastaafu, lakini bado anatoa kauli za kijingajinga tu.
 
Kila nafsi itaonja umauti.

Lakini kweli kauli kama hizo sio njema ase.
 
Nakumbuka sana mahojiano hayo ambapo Mwalimu aliulizwa pia kama kwa umri wake wakati huo 75 na uimara wa afya yake anadhani ataweza kushuhudia awamu za marais wangapi baada yake?

Kwa kujiamini kabisa alijibu kuwa haoni nini kitamzuia kushuhudia Rais wa awamu ya nne na tano wakiapishwa kuongoza nchi.
Lilikuja swali kichwani mwangu siku hiyo " Hivi mchongameno ana ubia na muumba wake"
Nadhani hakuvuka awamu ya tatu maana Ben Mkapa ndiye aliyetangaza kifo chake na kusimamia mazishi.

Jana historia imejirudia tena, masikioni mwangu nikimsikia Kikwete tena kwa kujiamini kabisa akitangaza kuwa marehemu wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki kwa kujihusisha kwao na siasa ambazo yeye Kikwete anadhani ni haki yake, wengine ni wachawi! .... Aibu! Lakini inasikitisha zaidi. 😭
 
Kwani wewe hukusoma fasihi (Literature)? Mbona wala hakukebehi, alimaanisha udhaifu wetu, au umasikini wetu, health care iliyo dhaifu, na Watoto wanashindwa kuishi ..... Tanzania kazi kweli.
 
Kwani wewe hukusoma fasihi (Literature)? Mbona wala hakukebehi, alimaanisha udhaifu wetu, au umasikini wetu, health care iliyo dhaifu, na Watoto wanashindwa kuishi ..... Tanzania kazi kweli.
Kuhusu Nyerere, Watanzania wengi wanasumbuliwa na inferiority complex na mara nyingine hawana elimu ya kumuelewa hata mtu anayeongea kwa huruma.

Ukisema ukweli kwamba nchi yetu bado haijaweza kushinda changamoto za afya ya jamii na watoto wengi wanakufa wakiwa wadogo sana, inaonekana eti umewakejeli.

Ni kama vile watu hawataki ukweli na hawataki kuongelea kifo.

Ujinga tu.

Huyo Kikwete of course ni mjingamjinga tu unategemea aseme nini sasa?
 
Acha upuuzi. Kauli ya "wachawi walishakufa" ina tatizo gani? Au wewe ni mchawi ikakugusa? Na kuhusu kauli ya Rais mstaafu kuwa watoto wanakufa wakiwa wadogo haina kosa lolote. Hata Van Damme ana movie inaitwa We die young kuelezea jinsi vijana wanavyoondoka mapema kwa sababu ya uhalifu. Ujio wa bodaboda umechochea zaidi vijana wadogo kufa mapema.
 
Vitoto✔️
Tutoto✔️
Matoto❌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…