Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Mungu si huwa anajua yaliyopita, ya sasa na yajayo?Mwenyezi Mungu ametuumba na kutupangia muda wa kuishi, uzembe wetu pia unaweza kusababisha tusifikishe huo muda wakuishi tuliopangiwa na mwenyezi Mungu.
Thibitisha. Leta ushahidi! .Ni mama yako na baba yako.
Moja ya sifa za kiongozi mzuri ni clarity.Acha upuuzi. Kauli ya "wachawi walishakufa" ina tatizo gani? Au wewe ni mchawi ikakugusa? Na kuhusu kauli ya Rais mstaafu kuwa watoto wanakufa wakiwa wadogo haina kosa lolote. Hata Van Damme ana movie inaitwa We die young kuelezea jinsi vijana wanavyoondoka mapema kwa sababu ya uhalifu. Ujio wa bodaboda umechochea zaidi vijana wadogo kufa mapema.
Wakati mama yake akiwa ametimiza miaka 100+. Na hata alisema nanukuu, "hata mimi nitafikisha miaka 100 kama ya mama." Aliishia miaka 77Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.
Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."
Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)
Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).
Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).
Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.
Mmeshikwa masikio mpo wengi karibu mikoa mitano mnamiliki. Mwanza, geita, shinyanga, tabora, simiyu jumlisha vumbivumbi nyingine mikoa jirani ya kigoma,Mara, Moro nk. Sisi wa bara wote tupo nyuma yenu.Kauli ya Mwalimu haikuwa mbaya alikuwa anasikitika kwa vifo vya watoto wadogo si zaidi ya hapo lakini kauli ya Kikwete na ile ya Makamba kuwa watu wazuri hawafi moja kwa moja ni kuwakejeli wenzao ndani ya CCM waliotangulia mbele ya haki na bila kupepesa macho aliyelengwa ni Magufuli . Ni wakati sisi wa kanda ya ziwa tuonyeshe hasira yetu kwa hawa mafedhuli.
Nature itafanya yake katika mazingira yoyote yale.Msoga awaombe radhi watanzania.Tofauti na hapo nature itafanya yake.Mungu amekataza chuki .
Nyerere alikuwa na huruma. Usipotoshe. Hiyo ni kauli ya huruma kuona watu waliotegemewa kuishi muda mrefu na kulijenga taifa, wanakufa bado wadogo. Ukiacha udini au ujinga, utamueleza Nyerere kwa sifa njema.Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.
Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."
Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)
Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).
Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).
Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.
Povu ni sehemu ya uhuru wa maoni.Acha upuuzi. Kauli ya "wachawi walishakufa" ina tatizo gani? Au wewe ni mchawi ikakugusa? Na kuhusu kauli ya Rais mstaafu kuwa watoto wanakufa wakiwa wadogo haina kosa lolote. Hata Van Damme ana movie inaitwa We die young kuelezea jinsi vijana wanavyoondoka mapema kwa sababu ya uhalifu. Ujio wa bodaboda umechochea zaidi vijana wadogo kufa mapema.
Eeh: tuendelee mdogo mdogo tuliumia sanaπ π π nimesoma weee kila nikiwa nakaribia kuelewa nasahau tena. Imebidi niombe msaada π π π π .
Jiwe amegoma kutoka mioyoni na vichwani mwa watu π π π π
Ni Kweli. Katika hali ya kawaida, tena ukizingatia uelewa wa waliokuwa wasikiliza; kauli ile ilionesha aina fulani ya majigambo ya binafsi kwamba wanaokufa ni wasiojua au ni wale wasio werevu na hawana maarifa kwani alisema: "Mimi eeh nina uhakika-nina uhakika nitafika 72/82......." (isomwe Kwa sauti ya kwake alivyozoeleka kutamka).Ile kauli mimi sikuielewa tangu siku ille kwani ilionyesha kujisifu kwa kuishi miaka mingi. Msikilize vizuri kama unaweza pata clip yake.
Wewe hujui maana ya neno mchawi? Acheni kupianikisha na tafsiri za kijinga wakati sentensi iliyotamkwa imenyooka.Moja ya sifa za kiongozi mzuri ni clarity.
Kusema maneno yaliyonyooka ambayo hayaachi nafasi kubwa ya kutafsiriwa vibaya.
Kauli ya "wachawi walishakufa" inaibua maswali mengi kuliko majibu.
Hao wachawi ni kina nani? Kwa nini hakuwataja? Je, watu wote waliokufa ni wachawi?
Kuna watu wengi wamefiwa na ndugu zao, wazazi wao etc. Hao wakijiona wamesimangwa na Kikwete kuwa ndugu zao, wazazi wao, wamekufa kwa sababu ni wachawi, Kikwete anajua kuwa kauli yake vague ndiyo utakuwa imesababisha hii hali?
Rais Mwinyi wa Zanzibar naye kafiwa na baba yake hivi karibuni. Marehemu Rais Mwinyi naye ni mmoja wa hao wachawi waliofariki?
Pengine ukamtangulia wewe!Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.
Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....."
Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa pale ukumbinu watu walicheka (mkubwa hata akiongea pumba, watu watacheka na kupiga makofi)
Nilikuwa kijana mdogo wakati huo lakini ile kauli mpaka leo iko kichwani (yule Mzee sikumuelewa kabisa ile siku).
Kwahiyo, na huyu namba moja kutoka Msoga, huenda nae akafuata nyayo za namba moja kutoka Butiama ikiwa ni pigo la Nature kwa kujeli waliotangulia mbele za haki kwa ulevi tu wa status aliyonayo(namba moja mstaafu).
Msije kushangaa huyu nae hafiki hata Oktoba.
Wewe ndio unaona Wameropoka kisa umetokea Vunjo πΌKwahiyo waropoke Upuuzi kisa Wanatokea Pwani!?
Mchawi nani sasa? Mpaka hapo sentensi haijanyooka imeacha swali.Wewe hujui maana ya neno mchawi? Acheni kupianikisha na tafsiri za kijinga wakati sentensi iliyotamkwa imenyooka.