Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

Kila siku wanawake amekuwa rais wa wanawake hajua huwa hawapendani ,asitegemee watambeba kwa Kura kwenye uchaguzi thubutu

USSR
Wafitini hamlali....
 
Kwenye "uchafuzi" wa 2020, MaCCM waliteua wagombea wanawake wasiozidi 25 kugombea kwenye majimbo, CHADEMA iliteua wanawake zaidi ya 50... ni muhimu kukumbushana hili leo ikiwa ni siku ya Demokrasia na Mh Rais anakutana na wanawake... Tanzania ina majimbo 264
 
Badala afuatilie mambo ya msingi ya nchi na kufanya ziara zenye tija sehemu nyeti pamoja na miradi nyeti ya taifa yeye kutwa yupo busy na mialiko na kujadili mambo ya wanawake! Waziri husika hayupo??
 
Huyu bibi aache bangi na dharau kwa demokrasia yetu!
 
Leo Mwenyekiti wa CCM Rais Samia S. Hassan alinya mkutano mkubwa wa demokrasia ya chama kimoja. Mkutano huo imefanyika wakati jeshi la polisi likiwazuia wanawake wa vyama vingine kufanya mikutano ya nje na ndani.
 
Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendeleza elimu bila malipo kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne,

Hayati Rais Magufuli alitoa kiasi cha Tshs 23.8Bl kwaajili ya kugharamia elimu bila malipo kiasi ambacho mana anatoa hata sasa,

.........Kazi iendelee ......

VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM
 
Jambo zuri, simo upande wowote (neutral) nikimaanisha ile mizukule ya siasa uchwara za mitandaoni isijihusishe chochote kuhusu huu ujumbe.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aibu hii aiseee, badala ya kujadili Mambo ya msingi kuhusu demokrasia wao wanaleta hadithi za mende kaangusha kabati
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aibu hii aiseee, badala ya kujadili Mambo ya msingi kuhusu demokrasia wao wanaleta hadithi za mende kaangusha kabati


Ndg Elimu sio Msingi?
 
kweli mama anaupiga mwingi aise,
Naona uchaguzi 2025 umeisha,
 
Sawa, tumemsikia lakini nashauri Mama afanye ufuatiliaji wa matumizi ya hizo fedha kwani mpaka sasa mitaani kuna manunguniko kuwa ada na michango vimesharudishwa mashuleni!
 
Amesema kama sio "kudra za Mungu" asingefika hapo, kumbe nae alikuwa anaitamani hiyo nafasi ila uwezo ndio hakuwa nao.

Haya maneno kudra za Mungu ni kama alikuwa anaomba apate hiyo nafasi kwa njia yoyote, ikibidi hata kwa sababu kama ile iliyotokea, siku hizi amekuwa hachagui maneno akiongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…