Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

Samia ni sawa na akina Tundu milioni moja
Atakuwa mgombea dhaifu haijawahi kutokea. Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM na kila siku anauongeza. Kwa vyovyote hatakubali Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi. Ukatili wa Polisi atauongeza na itakuwa silaha yake kuu. Fikirieni ukombozi kwa njia nyingine lakini si hii ya demokrasia ya uchaguzi!
 
kwani kuna mtu asiyeitamani iyo nafasi?
 
Mama amenifanya nijiulize maana ya kudra
 
CCM kushinda uchaguzi wenye mezani sawa ya ushindani ni ndoto...watabebwa na dola tu waoga hao
Na kwa kuwa Magu kawafundisha wizi aina mbili wa kura:
1) wa kura zenyewe (2020)
2) wizi wa mchakato wa uchaguzi (2019)

Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, waliiba mchakato. Mpinzani hata fomu tu ya mgombea hupewi. Ukiipata, utamrudishia nani? Ofisi inafungwa wiki mbili.

Kusema kweli, hata 2020 kulikuwa na wizi wa mchakato, kama ifuatavyo:
1) Tangaza utaendesha mwenyewe uchaguzi , huhitaji fedha za nje. Kwa nini? Fedha ya nje inakuja na wasimamizi makini wa nje. Ukitaka uchaguzi wa gizani, ukwibe utakavyo, kataa fedha yao
2) vuruga fomu za wapinzani, ili hata wakijaza vizuri, tupate sababu ya kuwaengua
 
Badala afuatilie mambo ya msingi ya nchi na kufanya ziara zenye tija sehemu nyeti pamoja na miradi nyeti ya taifa yeye kutwa yupo busy na mialiko na kujadili mambo ya wanawake! Waziri husika hayupo??
Ndio shida ya kuwa na Rais mwanamke na asiyejitambua. Mda mwingi ni hoihoi, vijembe
 
Wanaccm wote wamefurahi , ukiacha chawa
 
View attachment 1938941

Huyu tusipoungana kumkemea bila kujali vyama atatuvuruga sana. Hana anachowaza kabisa hapo ikulu. Anawaza uchaguzi na uwanawake tu. Wanawake wanawake wanawake. Vipi anataka na wanaume waanzishe kampeni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alie anzisha kelele za usawa wa jinsia kauchuna chuuuu anatazama na kusikilizia balaa la mashuzi yake...... Dah aiseee waafrika hatutatoboa hata iweje.

Yaani watu wenye akili wanawaza maendeleo sisi huku tunawaza mwanamke akiwezeshwa anaweza...... Taifa la majaribio...... Upumbavu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…