Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.

Wakuu tayari bana nishatoka na sijatoa kitu.
Kiufupi walikua wana tutisha kuwa watatupeleka TRA ila ndo hvo
Sasa hapa naomba mtaalam ambaye anaweza nifanyia mpango nikapata lesseni