Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Koo ukitaka kusemaje maana hili dongo la wazi kabisa.Pole sana endeleeni kuwatukana waajiriwa na kuwaita watumwa, uzuri wafanyabiashara wote lazima muishie kuwa matajiri kama kina bakhresa au mkishindwa sana basi vunjabei, kwahiyo hakuna haja ya kulalamikia vitu vidogo kama hivo