Siku ya kufa Nyani: Polisi na TRA wavamia biashara yangu

Siku ya kufa Nyani: Polisi na TRA wavamia biashara yangu

Wamekuonea tu na kwa sababu haujui hayo mambo halafu wamekukuta una ma stress na inavyoonekana umechomwa. How come matukio yafuatane hivyo?
Mkuu acha tuuu hii mara ya pili
 
Kwani na wewe unalipa kodi 😄😄😄😄
Kodi haswaa sio ya kitoto, hapo ndo umeanza mbona utatoa milio sana…!!
Halafu TRA wanaangalia Tin namba na mapato km umelipia, hiyo leseni kazi ya halmashauri au manispaa… jiandae wako njiani nao 🤣😹
 
Kodi haswaa sio ya kitoto, hapo ndo umeanza mbona utatoa milio sana…!!
Halafu TRA wanaangalia Tin namba na mapato km umelipia, hiyo leseni kazi ya halmashauri au manispaa… jiandae wako njiani nao 🤣😹
Mbona kama unafurahia hvi.
Wee 😂 😂 😂 😂 😂

Hvi unajua leo nimetoka kiujanja ujanja mwenzako bila kutoa chochote kile dadek
 
Back
Top Bottom