Siku ya kufa Nyani: Polisi na TRA wavamia biashara yangu

Siku ya kufa Nyani: Polisi na TRA wavamia biashara yangu

Leseni 80k
Faini 100k
Alfu sijui asilimia ya nn huko ambayo ni 37k
 
Wakuu mpka sasa naona kabisa leo talala staki shari
 
Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri

Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita tra sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.

Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.

Hao ni watu wa Manispaa TRA hawezi akakufuata kidagaa mdogo wangu.
Ulishawahi kwenda TRA na ukakadiriwa? Ukalipa hata installment moja ya kodi, withholding tax na stamp duty?

Kama hujamalizana na TRA huwezi kupata less I maana ni lazima uwe na Tax clearance certificate na ndio uende Manispaa kulipia leseni. Mbona hizo figure ulizowekewa hapo ni kama mmiliki wa duka la Spare za magari?

AU ndio ushapigwa na penalty hapo?
 
Pernat kaka
Kuna ya leseni
Kuna penalty
Na kuna asilimia za penat sijui
 
Active naomba title yangu isomeke vzr naona kama mna nia ya kunigombanisha na serikali yangu
 
Back
Top Bottom