Scaramanga
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 490
- 704
sasa kwani ungesema ni afisa wa tra mpaka useme anakitambi. da acha kumdhalilisha huyo baba wa watu. isitoshe mbona barua yako inaonyesha ni JIJI . Yaani hata kusoma uone ni jiji nalo ni tatizo. Mgambo wamekuvuruga si bure weweSiku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.