Scaramanga
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 490
- 704
sasa kwani ungesema ni afisa wa tra mpaka useme anakitambi. da acha kumdhalilisha huyo baba wa watu. isitoshe mbona barua yako inaonyesha ni JIJI . Yaani hata kusoma uone ni jiji nalo ni tatizo. Mgambo wamekuvuruga si bure weweSiku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.
Huyu jau sanaHapa ni chai sio
Ndio mkuu mgambo wamenivurugasasa kwani ungesema ni afisa wa tra mpaka useme anakitambi. da acha kumdhalilisha huyo baba wa watu. isitoshe mbona barua yako inaonyesha ni JIJI . Yaani hata kusoma uone ni jiji nalo ni tatizo. Mgambo wamekuvuruga si bure wewe
TRA unakaa nao unawaambia biashara ndo umefungua ukijichanganya kwenye kujielezea imekula kwakoTra wanataka lessen
Nipo nao hapa ngoja tuone..TRA unakaa nao unawaambia biashara ndo umefungua ukijichanganya kwenye kujielezea imekula kwako
Wewe tena, si umefunjiwa duka?Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.
Hii so bule mkuu huenda unaugomvi na UV ccm hebu jalibu kujichunguza utapata jibuSiku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.
Yani umeweza kujua kwamba hilo ni dongo, ila umeshindwa kujua nilitaka kusemaje, au unanisanifu tuKoo ukitaka kusemaje maana hili dongo la wazi kabisa.
Leo hii ngumuWewe tena, si umefunjiwa duka?
Kudadek 😄😄😄😄😄Hii so bule mkuu huenda unaugomvi na UV ccm hebu jalibu kujichunguza utapata jibu
Biashara yako ina turnover kiasi gani kwa mwaka? Si kila biashara inatakiwa kwenda Tra.Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.
Ni halmashauri kumbe mkuuBiashara yako ina turnover kiasi gani kwa mwaka? Si kila biashara inatakiwa kwenda Tra.
Ikiwa pato lako ni Chini ya milioni 4 hulipi kodi, ikiwa milioni 4 mpaka 7 unalipa flat rate 100,000 ama kama unaweka kumbukumbu ni hio hela iliozidi milioni 4.
Kama biashara ni kubwa sana hao jamaa wana kuhusu.
Poor brain tra huwa hawausiki na liseni za biashara na kama ulivyoweka na ushahidi hao ni Jiji. tra wao huwa wanahusika na tin namba na hata wakipoita wataulizia tin namba au makadirio. Je uliomba kitambulisho ukaona ni tra? siyo kila anayekuja dukani ni tra kuna tra wao wataulizia makadirio tin efd na kama umelipa kodi au umefanyiwa makadirio , halmashauri wao ni liseni kama unayo au umelipia.Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na biashara yangu hata mwaka haija fika ila nina viambatanisho vyote kama vyeti muhimu.
Wamekuonea tu na kwa sababu haujui hayo mambo halafu wamekukuta una ma stress na inavyoonekana umechomwa. How come matukio yafuatane hivyo?Pernat kaka
Kuna ya leseni
Kuna penalty
Na kuna asilimia za penat sijui
Ni muongo huyo kijana. HatariiiiKwa Nini cocastic umesema ivyo..
Hao ni jiji sio tra halafu inawezekana watu wameku snitch na wamekukaangaTra wanataka lessen
Kuwa na huruma basi 😃Ni muongo huyo kijana. Hatariiii
Chai ya bila kitafunwa hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ni chai sio
Aaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa na huruma basi [emoji2]
Ni watu wa jiji mkuuPoor brain tra huwa hawausiki na liseni za biashara na kama ulivyoweka na ushahidi hao ni Jiji. tra wao huwa wanahusika na tin namba na hata wakipoita wataulizia tin namba au makadirio. Je uliomba kitambulisho ukaona ni tra? siyo kila anayekuja dukani ni tra kuna tra wao wataulizia makadirio tin efd na kama umelipa kodi au umefanyiwa makadirio , halmashauri wao ni liseni kama unayo au umelipia.