Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?Kuna nini? Wacha kamba mwaga mtama utaona kuku wenyewe wanakuja. Khe khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata Gaidi hawakumwachia!
Hakuhutubia umma atawezaje kusamehe? Subirini kesho akishajidhihirisha bila kukurupuka kuwa atakaowasamehe hawatarudi kosa kamaAma kweli hii ni awamu ya Sita ! nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda , kulikoni ?
Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
Si unafahamu Togolani anafanya nini? Maelekezo kutoka Msoga. Miaka hii hadi uchaguzi lazima wengi wataomba poo.... ..... ... Wadanganyika wamepatikana.Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
Nadhani ni wakati sahihi sana kuacha Mahakama kufanya kazi yake. Kusamehewa kwa wafungwa ni kinyume na ile DOCTRINE YA SEPARATION OF POWER. suala la kuwasamehe wafungwa (Msamaha wa rais) chini ya ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania sura ya 2; inakinzana sana na doctrine hii; alikuwa sahihi kwa alichofanya. Tuwekeze nguvu zaidi katika kudai katiba mpya ambao kwa sasa sio kipaumbele cha selikali ya awamu ya sita. Mda ukifika tutapata katiba mpya.Tusichanganye maadhimisho na siku ya Uhuru watanganyika ..eti eee
Sio sheria eti Kila siku ya kumbukumbu ya uhuru Basi Wana lupango wasamehewe NO ..Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
Sasa kuacha hiyo ibara wakati ipo kikatiba si ndio kukiuka katiba kwenyewe? Katiba iliyopo itumike ipasavyo mpaka itakapopatikana nyingine.Nadhani ni wakati sahihi sana kuacha Mahakama kufanya kazi yake. Kusamehewa kwa wafungwa ni kinyume na ile DOCTRINE YA SEPARATION OF POWER. suala la kuwasamehe wafungwa (Msamaha wa rais) chini ya ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania sura ya 2; inakinzana sana na doctrine hii; alikuwa sahihi kwa alichofanya. Tuwekeze nguvu zaidi katika kudai katiba mpya ambao kwa sasa sio kipaumbele cha selikali ya awamu ya sita. Mda ukifika tutapata katiba mpya.
Asante kwa taarifaSio sheria eti Kila siku ya kumbukumbu ya uhuru Basi Wana lupango wasamehewe NO ..
Hayo ni mambo ya awamu zilizopita msituangushie mbuyu bure hatutakiNimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
We si ndo ulokuwa unamkanyagia magu humu,,,Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni?
Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha