Siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hakuna mfungwa aliyesamehewa?

Kuna nini? Wacha kamba mwaga mtama utaona kuku wenyewe wanakuja. Khe khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata Gaidi hawakumwachia!
 
Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
 
Ama kweli hii ni awamu ya Sita ! nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda , kulikoni ?

Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
Hakuhutubia umma atawezaje kusamehe? Subirini kesho akishajidhihirisha bila kukurupuka kuwa atakaowasamehe hawatarudi kosa kama
Ben na Azori watatoka tutatoa heshima za kudumu.
 
Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
Si unafahamu Togolani anafanya nini? Maelekezo kutoka Msoga. Miaka hii hadi uchaguzi lazima wengi wataomba poo.... ..... ... Wadanganyika wamepatikana.
 
Tusichanganye maadhimisho na siku ya Uhuru watanganyika ..eti eee
 
Nadhani ni wakati sahihi sana kuacha Mahakama kufanya kazi yake. Kusamehewa kwa wafungwa ni kinyume na ile DOCTRINE YA SEPARATION OF POWER. suala la kuwasamehe wafungwa (Msamaha wa rais) chini ya ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania sura ya 2; inakinzana sana na doctrine hii; alikuwa sahihi kwa alichofanya. Tuwekeze nguvu zaidi katika kudai katiba mpya ambao kwa sasa sio kipaumbele cha selikali ya awamu ya sita. Mda ukifika tutapata katiba mpya.
 
Gaidi bado hajahukumiwa,wanaosamehewa ni wafungwa sio mahabusu,ataachiwa baada ya kutumikia miaka kadhaa ambayo si haba ya kifungo
 
Usishinde kitwa mzima kufuatlia ugaidi wa mwenyekit ukaacha mengine yanakupita bila kuyafahamu
 
Msimu wa kilimo wacha wafanye kazi.Tukiachana na hilo kila mtu ana utendaji wake tumuacha Mama atupeleke uelekeo anaoutaka.
 
Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
Sio sheria eti Kila siku ya kumbukumbu ya uhuru Basi Wana lupango wasamehewe NO ..
 
Nadhani ni wakati sahihi sana kuacha Mahakama kufanya kazi yake. Kusamehewa kwa wafungwa ni kinyume na ile DOCTRINE YA SEPARATION OF POWER. suala la kuwasamehe wafungwa (Msamaha wa rais) chini ya ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania sura ya 2; inakinzana sana na doctrine hii; alikuwa sahihi kwa alichofanya. Tuwekeze nguvu zaidi katika kudai katiba mpya ambao kwa sasa sio kipaumbele cha selikali ya awamu ya sita. Mda ukifika tutapata katiba mpya.
Sasa kuacha hiyo ibara wakati ipo kikatiba si ndio kukiuka katiba kwenyewe? Katiba iliyopo itumike ipasavyo mpaka itakapopatikana nyingine.
 
Nimeuliza tu, maana Babu Seya alitolewa lupango kwa siku kama hii (niko tayari kusahihishwa), sasa safari hii mbona kimya?
Hayo ni mambo ya awamu zilizopita msituangushie mbuyu bure hatutaki

20211121_213457.jpg
 
Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni?

Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
We si ndo ulokuwa unamkanyagia magu humu,,,
Kumbe yale aliyokuwa anayafanya ni mazuri likiwemo la kusamehe wafungwa kwa uwazi,,
Kweli hujafa hujasifiwa,,,
 
Back
Top Bottom