Siku ya kwanza kuamkia kwenye nyumba yako, furaha yake usipime!

Kupanga shida Ila namshukuru Mungu hiki kijiti nilikiondoa miaka 10 iliyopita.
Karibu kwenye Chama
Wabongo mnajidanganya sana, nyumba za DSM hazieleweki mara , bomba mara Miundo mbinu, mara tunapanua uwanja wa ndege hameni.

Hapo bado kijana unasafari ya nje, UK, USA, KENYA, Kutafuta maisha, South huko si utapanga tu. Jenga/pangisha tambaa na njia, kapange tena nyumba iwe za dharula tu, mke akisepa asepe upangajini. Nyumbani kwako hatoki ng'oo! utatoka weye! maisha yalivo magumu hatakubali kwenda kuanza moja.
 
Naona umekalili wooote tunaishi viwanja vya mihogo, huku niliko mpk wapanue barabara huku nanjilinji mmnh.
 
Naona umekalili wooote tunaishi viwanja vya mihogo, huku niliko mpk wapanue barabara huku nanjilinji mmnh
Sijakariri Mkuu, Labda nyie huko ndiyo mnaishi viwanja vya Mihogo! vyetu sisi huku Wailles, Kamunnyonge, Magomeni Biafra, Ilala Boma vimepimwa kabisaa! tangu enzi za mchonga hakuna kuhamishwa!! Bali ukitaka ni unanunua Nyumba unajenga. kwa pesa ndefuu!
 
Nanjilinji tumepima toka 1990
 
Mimi siku hiyo nitaomba na ruhusa nisiende kazini ili niamke saa Saba[emoji23]
 
Hongera ndugu,ila isiwe no matokeo ya haramu zile za kisayansi na dhulma dhidi ya wengine .Halo utakuwa na furaha ya kweli moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…