agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 362
Mimi nimesoma bagamoyo secondary, shule pekee ukiwa ufukwen au baharia unaogelea unakua bado upo eneo la shule, kama advance hukusoma serikalin bas ww ni kilaza
😁😁😁Nakumbuka shule yetu ilikuwa na wanafunzi wengi walikuwa ni kutoka Kigoma,Tabora na Mwanza...washamba balaa...umeme ukikatika tunawapa ndoo wakachote umeme...yaani hata watu wazima walikuwa wanabeba ndoo kwenda kuchota umeme.....na tulikuwa tunawaambia wasiporudi na umeme wabaki huko huko....walipata taabu sana
Hahahaanlikuwa nimeriport form one. Baaada ya kufanya registration baada yakumaliza naelekea bwenini kuna jamaaa mmoja akaja kunipokea. Akabeba godoro. Akakunja kona sijui akaingilia wapi. Akapotea na godoro.
Baada ya kuzoea nkaja kujua lile godoro alienda kuuza mtaaan bei ya kutupwa.
Governement schools zina tabu na raha yake saana
Hiyo harufu hua naiita kiguniaSiku ya kwanza nilianza kula menu ya jioni ilikuwa ugali
Ugali ulikuwa wa unga uliokaa kwa muda mrefu hadi ukavundika ukawa na harufu fulani amaizing.
Nilikula matonge hayazidi matano nikaacha nikaenda kuumwaga, kesho yake njaa ililikamata maana sikula vizuri jana yake.
Ilipofika lunch ile harufi sikuiona tena(sikuijali) niliparamia menu bila kubakisha hata punje ya tonge. Kuanzia hapo nikazoea ugali moja kwa moja
Nimeibugia sana kwa muda wa miaka 4 hadi nilinenepa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo harufu hua naiita kigunia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nicheke kwanza kidogo.
Nilifika shule wenzangu wakiwa wameanza masomo, siku moja akaniita dada mmoja anaitwa Nuru alikuwa kidato cha 3 akaniuliza mbona wewe sijawahi kukuona hapa shuleni umetoka wapi? Nikamwambia nimetokea sehemu fulani akauliza wote mmetahiriwa au mna magovi. Nilikuwa na rafiki yangu mmoja anaitwa Thobias.
Nikamwangalia yule jamaa yangu maana alikuwa ni lile kabila lenye kukwepa tohara, nikasema ndiyo wote tumetahiriwa. Akauliza tena wote mmetahiriwa? Nikanyamaza.
Akaitwa jamaa mmoja mbambe aje kufanya uhakiki mbele ya yule dada (Nuru) ambaye nae alikuwa na mwenzake wa kike. Yule njema akafika na kumkamata Thobias na kuanza uhakiki jamaa kakutwa ana mkono wa sweta. Duh zamu yangu kufika nikalala mbele kwa mbio za Bolt sitaki ukaguzi kwenye dushe langu mbele ya KE.
Baada ya hapo nikaitwa timu ya shule kidogo nikapata ahuweni yale mateso niliyakwepa kwa mwamvuli wa soka.
Yah Mkuu.Ulikuwa unasoma mixture mkuu??
hahahahaha! utakuta u miungoni mwa walio faulu baada ya serikali kurudia kusahisha baada ya kufeli sanaaaMimi nimesoma bagamoyo secondary, shule pekee ukiwa ufukwen au baharia unaogelea unakua bado upo eneo la shule, kama advance hukusoma serikalin bas ww ni kilaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walienda nalo wapi?Nakumbuka Lyamungo aisee,nimefika form one pale sema nilichelewa kidogo,nimemaliza kufanya registration, napelekwa bwenini wakatokea watu wakabeba tranka langu kama jeneza wakawa wanalia wakaongezeka wengine wanarusha na maua kabisa!
Daah karibu nigeuze aisee,sema nilikua kulipiza na Mimi baada ya kuzoea!