"Siku ya kwanza kukutana nae walikuja kwangu usiku", Sinta akipelekwa na Dida kwa Juma Nature

Watu wa Jamii forum ni waongowaongo sana...imagine kuwa HR pale Saifee hospital ni mwenzio huyo? Wanaongeleaga watu hata hawajawaona ila utasikia yule kwishaaa😅
Inawapa nafuu ya mioyo yao iliyopondeka, tena iwe ni mwanamke basi watapondaa ikitokea mtu akaja na vithibitisho wanapoteana, sinta atakuwa kwenye 40's ila kwenye yale mahojiano ni kama ana early 30's
 
Na nyie kwa kufukua makaburi hamjambo! Sinta ni highly respected HR kwenye hospital moja kubwa hapa Town we unaleta story za huyo nature kajichokea zake
Saifee hospital😂

Sema watu wa zamani walikua hawajali kabisa kuhusu tako. Sinta hana tako kabisa Ila aliisimamisha nchi. Nchi nzima mzuri anaonekana yeye😂😂

Siku hizi bila kuwa na mzigo kama wa poshy queen Hakuna mtu atakuzingatia
 
“ambaye alikuwa anasoma DSJ kile chuo kikuu cha habari”

Hapo Nature alitupanga sana🤣🤣
Eti DSJ ni Chuo Kikuu cha Habari…
Kwanini? Maana DSJ ndy kipindi hicho kilijulikana kama chuo kikuu cha habari na kilikuwa na watoto wakali kabla ya kubadili jina na kuitwa TSJ ikiwa inafukuzana kwa pisi kali na DSA kabla ya kubadili jina na kuitwa TIA
 
watanzania mnatakiwa kuokoka. ukweli ni kwamba, kati ya wadada walikuwa wanakwaza hata kutazama kwa sababu ya tabia mbaya, ni huyo mdada. alikuwa mfano mbaya kwa watoto wa kike, laiti kama angeokoka kabla kifo hakijamkuta, kwa sababu Mungu bado alikuwa anampenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…