"Siku ya kwanza kukutana nae walikuja kwangu usiku", Sinta akipelekwa na Dida kwa Juma Nature

Wanaponda sana mabinti wa 1990's eti mishangazi...😃😃
🤣🤣🤣wakati pipo bado zinalipa, pisi ipi ya ef 2 inaweza hata kushindana na uwoya, au sanchi!!! Na hizo ni za themanini mwishoni
 
🤣🤣🤣wakati pipo bado zinalipa, pisi ipi ya ef 2 inaweza hata kushindana na uwoya, au sanchi!!! Na hizo ni za themanini mwishoni
Shangaaa...wa 2000 wanazeeka kwa heka heka nyingi walizonazo..
 
Watu wa Jamii forum ni waongowaongo sana...imagine kuwa HR pale Saifee hospital ni mwenzio huyo? Wanaongeleaga watu hata hawajawaona ila utasikia yule kwishaaa😅
watu wa JF tuna dunia yetu yani ni exceptional 🤣🤣🤣
 
Usihukumu si kazi yako
Kwamba ukimuona mwizi, ukamuambia wewe mwizi acha wizi mwisho wake mbaya ni kumuhukumu?

mnavutaga bhangi za wapi nyie vijana?

hao watajwa hapo juu ni malaya, na wanaishi kwa kutegemea umalaya, kuwaita malaya wala haiwezi kuwa kuwahukumu.

Hukumu watakutana nayo kwa Mola wao huko!!
 
Imbecile.
 
Aiseeh mziki ulikuwa zamani
 
"Hila swala kubwa ni lako mama, usimsingizie Nina"
Nadhani katika hao watu wanne mmoja wapo alikuwa Nina ambaye alikuwa na urafiki na Sinta pia.
Maana kaole wakati ule visu walikuwa Sinta, Nina, Norah.
Aisee hivi nina alienda wapi yule demu alikuwa mkali sijapata kuona hadi leo hii.?!
 
Sinta kajipata tena ni boss ana hela balaa
 

Attachments

  • 20241103_221633.jpg
    130.5 KB · Views: 3
Kama ndo huyu sasa hivi basi wapo level tofauti sana na kiroboto 🙌
🤣🤣🤣🤣 Kiroboto Mnywa gongo hamuwezi huyo ngoja nikuletee picha zake nyingine akiwa ktk vikao vya UN huko

Demu Amekuwa madame boss now days na ni low key
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…