Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

I have to be honest brother with no sugar coating,kama hii ndio SUV umeamua kuwa nayo umejitafutia matatizo ya moyo na matumizi ya zaidi, utalipaki miaka mingine 11 ili uje litengeneza tena kwa kifupi utalipaka na likishalala ndio imeisha hiyo.
Kwani linaenda kulima? Si kwa matumizi yake na familia, kazini ,kanisani na matembezi?.service kama kawa?
 
Huyo mtu anayesema hujui dili zake ndio nilikuwa namshangaa! Ni upuuzi kuweka hela yote hio kwa miaka zaidi ya 10 eti kisa kununua gari ambayo stii ni outdated!

Walau hio pesa angenunua gari ya 2015 ningemuona ana akili!
Sasa mie ambae nasave mwaka wa 26 huu ili ninunue ka passo si nina hali mbaya zaidi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Cc Makiwendo
 
Huyo mtu anayesema hujui dili zake ndio nilikuwa namshangaa! Ni upuuzi kuweka hela yote hio kwa miaka zaidi ya 10 eti kisa kununua gari ambayo stii ni outdated!

Walau hio pesa angenunua gari ya 2015 ningemuona ana akili!
Unaumia nn na hela si yako?
 
Roho ya husda haichagui anaweza kuwa nayo tajiri au masikini,

Kuhusu kumuamini mleta mada ni uamuzi tu,naweza kuamini au kutoamini sababu kama nilivyosema humu hatujuani kwahio ukiona mtu anapinga wala usishangae au ukahisi ana husda au ni maskini,ni mawazo yake tu
Exactly!!
 
Excuse me madam what do you do for a living?
“Bitch I am 93” [emoji383][emoji383][emoji23]
IMG_4055.jpg
 
Nakubaliana nawe in part ila kwa performance BMW V8 is the fastest SUV hakuna cha Porche, Landcruiser etc nadhani ktk experience yako uliendesha BMW X5 v6 not the mammoth X5 V8 twin-turbo charged yenye 612 Horse power on it ni dude moja ukikaa humo siwezi nikakueleza ukaelewa. Tafiti utakubali mwenyewe.
Mkuu.

Porsche ipo kwenye league yake. Usiifananishe na mjerumani yeyote.

The fastest SUV in the world is Porsche Cayenne Turbo GT.

The fastest BMW SUV in the world is BMW X6 M Competition.
 
Back
Top Bottom