Kweli mkuu GTS za kuhesabu huku niliko kwa sasa maana jamaa wananiulizia kama naiuza especially tukikutana carwash
Well kuhusu Audis SUVs nimeziendesha sana na ni nzuri pia nazipenda
Kuhusu BMW mimi sio mpenzi wa hizo
Kuna wakati niliendesha ila tatizo lake sio stable na pia hata ufunge madirisha na upo speed utasikia muungurumo wa upepo and I hated it
Hili GTS mzee ukikanyaga accelerator unaona mwili unarudi nyuma kama unavutwa hapo ndio utaona nguvu ya Porsche
Ila kwa kuhitimisha kila mmoja anaangalia ipi anapenda zaidi