Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Mkuu.

Porsche ipo kwenye league yake. Usiifananishe na mjerumani yeyote.

The fastest SUV in the world is Porsche Cayenne Turbo GT.

The fastest BMW SUV in the world is BMW X6 M Competition.
BM X5 na Cayenne ni washindani kwenye soko....ila kwenye performance BMW ni mnyama always...ingia popote utaona BMW X5 is an amazing SUV all around!

Anzia hapa kufanya utafiti wa wajuvi wa magari uone reviews hizo utagundua Cayenne ni brand tu ila performance bado iko kwa BMW
 
Hawa ni washindani kweli ila kila mmoja ana nguvu zake na ukiangalia comments za walioendesha zote utaona
IMG_4054.jpg
 
BM X5 na Cayenne ni washindani kwenye soko....ila kwenye performance BMW ni mnyama always...ingia popote utaona BMW X5 is an amazing SUV all around!

Anzia hapa kufanya utafiti wa wajuvi wa magari uone reviews hizo utagundua Cayenne ni brand tu ila performance bado iko kwa BMW
I had the same feeling as yours.
 
BM X5 na Cayenne ni washindani kwenye soko....ila kwenye performance BMW ni mnyama always...ingia popote utaona BMW X5 is an amazing SUV all around!

Anzia hapa kufanya utafiti wa wajuvi wa magari uone reviews hizo utagundua Cayenne ni brand tu ila performance bado iko kwa BMW

Porsche inategemea unaongelea zipi, huwezi kuweka porsche let's say 918 yenye 800 plus hp ishindane na BMW X5 yenye 600 plus hp unayosema utaonekana kichaa🤣 🤣 🤣. Inshort inategemea na aina ya porsche
 
Ktk vitu sina mzuka navyo tena ni magari hasa personal cars...been there done that, over with it...ukiachana na maintanance cost kuna depreciation value...unanunua gari 55m, linakutia cost ya 5-10m during its time, na ukija kuuza ht 30m ni ya kupambania sana...kigari cha mwisho kuuza kilikua kirikuu cha biashara, hadi nakitoka bandarini 2016 kilikua 9.5m, last yr nakiuza nimeuza bodi na engine mswaki pesa yake hadi naona noma kuitamka, ht M hakikufika.
Nway kila mtu na ndoto zake, na ukiwa kijana ndoto za magari ni kubwa sana, ila with time unagundua u were wrong all the way.

Ushauri wangu Enjoy while it last.
Ulitaka kujua Gari Ni ukuda Pata nayo ajali na hata iwe haija umia kiviile then wake wale jamaa wa kuchinja wainunue Kama screpa ndipo utajua hujui,unaweza kuambiwa Bei Ni laki 5 na hakuna kubembelelezana.
 
Mmiliki wa vogue naona anamalalamiko 🤣 🤣 🤣 . Always go to the 1st rule- kwa mtu tajiri pesa huwa ndo inaongea kuliko mdomo,lakini kwa maskini mdomo huwa unatangulia kwanza.
Hahahahah hapo umemaliza kila kit
 
Ulitaka kujua Gari Ni ukuda Pata nayo ajali na hata iwe haija umia kiviile then wake wale jamaa wa kuchinja wainunue Kama screpa ndipo utajua hujui,unaweza kuambiwa Bei Ni laki 5 na hakuna kubembelelezana.
🤣 🤣 🤣 Gari ya bei mbaya kuleta bongo kama una roho nyepesi ni kujitafutia presha tu na mabalaa, inaweza kukufanya kila siku ukeshe kwa mwamposa unaifunika na damu ya YESU isipate ajali manake bongo kupata ajali ni jambo dogo sana, madereva wengi ni reckless
 
Porsche inategemea unaongelea zipi, huwezi kuweka porsche let's say 918 yenye 800 plus hp ishindane na BMW X5 yenye 600 plus hp unayosema utaonekana kichaa[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]. Inshort inategemea na aina ya porsche
Hapa tunazungumzia Cayenne hakuna Porsche Cayenne yenye 800 HP Haipo NAKUKATALIA. Usiongopee watu humu nenda kwenye uzi wa magari utaelewa una argue na nani...argument hapa ni Porsche Cayenne haipo Porsche Cayenne inayoizidi BMW X5 HP, BMW X5 HP yake iko juu sana kuliko almost SUV zote hiyo 0-100 inafikia ndani ya sec 4 tu wakati most of modern SUVs zinafikia the same speed at 5' kwa rpm tena ambayo ni exceeding unlike BM's
 
Nakubaliana nawe in part ila kwa performance BMW V8 is the fastest SUV hakuna cha Porche, Landcruiser etc nadhani ktk experience yako uliendesha BMW X5 v6 not the mammoth X5 V8 twin-turbo charged yenye 612 Horse power on it ni dude moja ukikaa humo siwezi nikakueleza ukaelewa. Tafiti utakubali mwenyewe.
Nime-argue based on this ulichoandika- Hapa ulikuwa general and not specific.
 
Nime-argue based on this ulichoandika- Hapa ulikuwa general and not specific.
Fuatilia comment yangu imetokea wapi na nilikuwa namjibu nani na what was our argument wewe unaleta discussion ya GT ambayo hatukuwa tukijadili our argument was on Porsche Cayenne not just any mere Porsche.

Huwezi ukaifananisha BMW X5 V8 yenye Horse power 612 na Landcruiser V8 ya Mjapani yenye mere 410 Horsepower au Cayenne yenye Horsepower zisizofika hata 550...that's why nakwambia BMW X5 V8 HP 612 ni mtabe Road huwezi kukaa nae anyhow ile ni super SUV
 
Hapa tunazungumzia Cayenne hakuna Porsche Cayenne yenye 800 HP Haipo NAKUKATALIA. Usiongopee watu humu nenda kwenye uzi wa magari utaelewa una argue na nani
Ofcourse naelewa ninacho-argue hapa, kwenye statment yako umesema hakuna porsche wala landcruiser inayoweza pambana na BMW X6 M. Nenda post yako namba 180 tuone nani anaongopea mwenzake hapa. It's better to put things straight
 
Kwaheri. Hujui kitu.
 
Mkuu.

Porsche ipo kwenye league yake. Usiifananishe na mjerumani yeyote.

The fastest SUV in the world is Porsche Cayenne Turbo GT.

The fastest BMW SUV in the world is BMW X6 M Competition.
Usiifananishe na mjerumani yeyote vipi wakati hizi zote ni Germany vehicles hahaha
 
Back
Top Bottom