Pole ya nini? Umichanganyikiwa?Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ya nini? Umichanganyikiwa?Pole
Watu mna sifaa [emoji2][emoji2][emoji55] ukifuatilia story za jamiiforum unaweza kujihisi ulizaliwa kuja kusindikiza wana huku dunianNilimaliza secondary wakati wa vita vya Uganda
Ni mzee kweli ila bado nadunda na gari hilo sio gari la vijana
Road Tax nalipa £600 kwa mwaka (1.8m)
Insurance usiulize ila nalimudu
Niko mzigoni saa hiziView attachment 2089482
Watu mna sifaa [emoji2][emoji2][emoji55] ukifuatilia story za jamiiforum unaweza kujihisi ulizaliwa kuja kusindikiza wana huku dunian
Inatosha inatosha 😄😄😄😄Hahaha ongeza na hii range ya wife
Kama umekaa nje miaka zaidi ya 30 na usafiri binafsi ni jambo la kawaida kuna tatizo gani?
Gari langu la 2010 na watoto wanafanya kazi na wana magari yao pia sasa wewe pambana tu na hali yako labda siku utanitumia hela nikutafutie moja huku who knows
Unataka mpaka tuweke na log book kuthibitisha ama
View attachment 2101101
View attachment 2101103
View attachment 2101105
Inatosha inatosha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
😄😄😄 Wabongo wanashindwa kukuloga tu, wanasemaga uchawi hauvuki bahari.Hapana bado sana
Hapo nilienda kumuoshea gari lake ingawa la zamani 2013 ila linaitwa Range Rover
Hapo nipo carwash vijana wanapambana [emoji23]
View attachment 2101109
[emoji1][emoji1][emoji1] Wabongo wanashindwa kukuloga tu, wanasemaga uchawi hauvuki bahari.
Ntafutie huko hata starlet mkuuHapana bado sana
Hapo nilienda kumuoshea gari lake ingawa la zamani 2013 ila linaitwa Range Rover
Hapo nipo carwash vijana wanapambana [emoji23]
View attachment 2101109
Ntafutie huko hata starlet mkuu
Hahah ndugu yangu mmoja hivi ni Mangi, yeye maduka yake ya jumla jumla Yana Operate siku 7 zote Ila J2 yanafungwa saa 05:00 jioni ndio wanapumzika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niweke tarehe ya kuja huko waniroge
Ila Nina dua za wazazi sana ambazo ni kinga kubwa kwangu [emoji1431][emoji1431]
Ila husda ni kawaida huko
Huku mtu ana Bentley unamuona wa kawaida sana na kuna rafiki zangu wawili wana Bentley ila ni machapa kazi haswa
Wanafanya 7 days kazi na biashara zao
Sasa huo ndio Uchawi
Piga kazi sana hata wakuite mwizi sawa mradi siri ya mafanikio unaijua wewe
Waswahili ukipata ooh ndagu [emoji23][emoji23]
Amtafute Chris lukosi sijui Kama bado anapiga hizo biz au alishadhulumu watu.Kama ni Japanese car bora uagize toka japan tu ingawa hapa ni karibu ila bei zinatofautiana na usafiri pia
Ila mimi situmi magari Boss nisamehe kwa hilo
Amtafute Chris lukosi sijui Kama bado anapiga hizo biz au alishadhulumu watu.
Hahah ndugu yangu mmoja hivi ni Mangi, yeye maduka yake ya jumla jumla Yana Operate siku 7 zote Ila J2 yanafungwa saa 05:00 jioni ndio wanapumzika.
Hata siku ameenda kuoa alienda kanisani na mkewe na ndg wachache alipotoka hapo akaenda zake hotelini na wageni wake wachache hawazidi 10 wakala na kunywa alivyotoka hapo akaenda zake 1 kwa 1 dukani kwake kuchapa kazi,watu wanamshangaa tu yaani we jamaa na hela zako zote hizo umeoa Leo na hakuna hata sherehe kubwa na umerudi dukani kuendelea na kazi [emoji1][emoji1][emoji1]
Sa hivi wanamzushia mchawi wakimuona anaporomosha maghorofa na kununua malori ya mizigo.
[emoji1][emoji1] ndio bongo yetu hio.
Sijamsikia Muda kidogo,aliwahi kunitumia spea za Gari yangu, kipindi flani aliwahi kulalamikiwa Ila sijui ilikuaje.Nilitaka kumuambia hivyo ila jina lilikuwa limenitoka
Jamaa yuko vizuri ila sijawahi kumtumia lakini nafikiri bado anapiga kazi
Sijamsikia Muda kidogo,aliwahi kunitumia spea za Gari yangu, kipindi flani aliwahi kulalamikiwa Ila sijui ilikuaje.
😄😄😄😄😄 aisee, itakua wabongo walishampeleka kwa babu😄😄Ohooo labda wameisha mroga [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa hawapi kazi wabongo wavivu sana na mazoea ya kishkaji
Wapakistan ndo kazi zao huko?Hapana bado sana
Hapo nilienda kumuoshea gari lake ingawa la zamani 2013 ila linaitwa Range Rover
Hapo nipo carwash vijana wanapambana [emoji23]
View attachment 2101109