Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Nilimaliza secondary wakati wa vita vya Uganda
Ni mzee kweli ila bado nadunda na gari hilo sio gari la vijana
Road Tax nalipa £600 kwa mwaka (1.8m)
Insurance usiulize ila nalimudu

Niko mzigoni saa hiziView attachment 2089482
Watu mna sifaa [emoji2][emoji2][emoji55] ukifuatilia story za jamiiforum unaweza kujihisi ulizaliwa kuja kusindikiza wana huku dunian
 
Watu mna sifaa [emoji2][emoji2][emoji55] ukifuatilia story za jamiiforum unaweza kujihisi ulizaliwa kuja kusindikiza wana huku dunian

Hahaha ongeza na hii range ya wife
Kama umekaa nje miaka zaidi ya 30 na usafiri binafsi ni jambo la kawaida kuna tatizo gani?

Gari langu la 2010 na watoto wanafanya kazi na wana magari yao pia sasa wewe pambana tu na hali yako labda siku utanitumia hela nikutafutie moja huku who knows

Unataka mpaka tuweke na log book kuthibitisha ama
IMG_4060.jpg

IMG_4058.jpg

IMG_4051.jpg
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Wabongo wanashindwa kukuloga tu, wanasemaga uchawi hauvuki bahari.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niweke tarehe ya kuja huko waniroge
Ila Nina dua za wazazi sana ambazo ni kinga kubwa kwangu [emoji1431][emoji1431]
Ila husda ni kawaida huko
Huku mtu ana Bentley unamuona wa kawaida sana na kuna rafiki zangu wawili wana Bentley ila ni machapa kazi haswa
Wanafanya 7 days kazi na biashara zao

Sasa huo ndio Uchawi
Piga kazi sana hata wakuite mwizi sawa mradi siri ya mafanikio unaijua wewe

Waswahili ukipata ooh ndagu [emoji23][emoji23]
 
Hahah ndugu yangu mmoja hivi ni Mangi, yeye maduka yake ya jumla jumla Yana Operate siku 7 zote Ila J2 yanafungwa saa 05:00 jioni ndio wanapumzika.

Hata siku ameenda kuoa alienda kanisani na mkewe na ndg wachache alipotoka hapo akaenda zake hotelini na wageni wake wachache hawazidi 10 wakala na kunywa alivyotoka hapo akaenda zake 1 kwa 1 dukani kwake kuchapa kazi,watu wanamshangaa tu yaani we jamaa na hela zako zote hizo umeoa Leo na hakuna hata sherehe kubwa na umerudi dukani kuendelea na kazi 😄😄😄

Sa hivi wanamzushia mchawi wakimuona anaporomosha maghorofa na kununua malori ya mizigo.

😄😄 ndio bongo yetu hio.
 
Hahah ndugu yangu mmoja hivi ni Mangi, yeye maduka yake ya jumla jumla Yana Operate siku 7 zote Ila J2 yanafungwa saa 05:00 jioni ndio wanapumzika.

Hata siku ameenda kuoa alienda kanisani na mkewe na ndg wachache alipotoka hapo akaenda zake hotelini na wageni wake wachache hawazidi 10 wakala na kunywa alivyotoka hapo akaenda zake 1 kwa 1 dukani kwake kuchapa kazi,watu wanamshangaa tu yaani we jamaa na hela zako zote hizo umeoa Leo na hakuna hata sherehe kubwa na umerudi dukani kuendelea na kazi [emoji1][emoji1][emoji1]

Sa hivi wanamzushia mchawi wakimuona anaporomosha maghorofa na kununua malori ya mizigo.

[emoji1][emoji1] ndio bongo yetu hio.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukienda kwa mganga ambae anaishi kwenye pagala na kavaa yeboyebo

Atakupa dawa za kupaka na kumwagia dukani (mbwembwe)
Ili uamini dawa zinafanyakazi
Halafu sasa inakuja ukweli ambao wewe huwezi kuwaza haraka haraka

Mganga atakuambia fungua wa kwanza na umwagie hii dawa kumbe ni maji tu ya kawaida
Na ufunge duka wa mwisho kila siku

Sasa hapo ndio Uchawi wenyewe unauza zaidi ya wenzako ndio Mangi anavyofanya ingawa hajaenda kwa mganga ila wanajua formula ya biashara
 
Back
Top Bottom