Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Yaani ameona anifokee eti mzee [emoji23][emoji23]
Yeye kijana hata ndoto hana
πŸ™‚πŸ™‚ Unaendesha ka gari kabayaa ka Porsche GT.. alafu mzeee kwanza πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ

c. c kamati ya roho mbaya
 
I have to be honest brother with no sugar coating,kama hii ndio SUV umeamua kuwa nayo umejitafutia matatizo ya moyo na matumizi ya zaidi, utalipaki miaka mingine 11 ili uje litengeneza tena kwa kifupi utalipaka na likishalala ndio imeisha hiyo.
Kwani linaenda kulima? Si kwa matumizi yake na familia, kazini ,kanisani na matembezi?.service kama kawa?
 
Huyo mtu anayesema hujui dili zake ndio nilikuwa namshangaa! Ni upuuzi kuweka hela yote hio kwa miaka zaidi ya 10 eti kisa kununua gari ambayo stii ni outdated!

Walau hio pesa angenunua gari ya 2015 ningemuona ana akili!
Sasa mie ambae nasave mwaka wa 26 huu ili ninunue ka passo si nina hali mbaya zaidi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Cc Makiwendo
 
Huyo mtu anayesema hujui dili zake ndio nilikuwa namshangaa! Ni upuuzi kuweka hela yote hio kwa miaka zaidi ya 10 eti kisa kununua gari ambayo stii ni outdated!

Walau hio pesa angenunua gari ya 2015 ningemuona ana akili!
Unaumia nn na hela si yako?
 
Exactly!!
 
Tulitukanwa sanaaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mtu mwenye hela hanunui gari kwa miaka 11 huyo ni sakara πŸ˜… long term plans ni 3-5 years!
Umenena mkuu hatimae ukweli umepatikana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Excuse me madam what do you do for a living?
β€œBitch I am 93” [emoji383][emoji383][emoji23]
 
Mkuu.

Porsche ipo kwenye league yake. Usiifananishe na mjerumani yeyote.

The fastest SUV in the world is Porsche Cayenne Turbo GT.

The fastest BMW SUV in the world is BMW X6 M Competition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…