Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Safi sana.. tunataka mambo mazuri mazuri kama haya..
 
Sana
Wanataka waje kazi kupiga soga tu
Sasa wapo wa Ghana na wa Zimbabwe wanapiga kazi haswa na kujituma sana
Mbongo anasema kampuni ya ndugu yangu aanaingia kazi mda anaotaka [emoji23]
Ndio kuna mtu nilikuwa naongea nae mda si mrefu kumuambia culture ya mtanzia ndio tatio la maendeleo, uvivu mwingi umwinyi mwingi
 
uzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR [emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu kwa huko ni ngumu labda uwe na biashara kubwa ingawa kipenda roho Dawa

Ila huku pia kuna gari siwezi kuzigusa kwa kweli ila nikitamani kuendesha kuna sehemu unaenda na unalipia kwa masaa
 
Mkuu kwa huko ni ngumu labda uwe na biashara kubwa ingawa kipenda roho Dawa

Ila huku pia kuna gari siwezi kuzigusa kwa kweli ila nikitamani kuendesha kuna sehemu unaenda na unalipia kwa masaa
Huku changamoto nyingi, maana hata TRA wenyewe hawataki tuwe na gari nzuri.. ni shida tupu.. ila wacha tupambane.. kwa mwaka huu binafsi nitachukua gari mojawapo ya ndoto yangu.. japo mapambano makali.. endelea kutu inspire vinaja wenye roho mbaya watajijua.. Bentley Bentayanga linagusika vipi Astorn Martin mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wacha weee
Safi sana mwanaume na ndoto eti
Jamaa yangu mmoja ana Bentley continental V8 4.0 2 dr
Ila kwa huku sio ndoto bali inawezekana ukitaka
 
Wacha weee
Safi sana mwanaume na ndoto eti
Jamaa yangu mmoja ana Bentley continental V8 4.0 2 dr
Ila kwa huku sio ndoto bali inawezekana ukitaka
hata huku bongo kama upo serious unavuta, shida TRA mkuu.. unakuta unainunua gari mala mbili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. wengine wakishafikilia hilo anaamua kuishia humu humu mwa kawaida
 
hata huku bongo kama upo serious unavuta, shida TRA mkuu.. unakuta unainunua gari mala mbili [emoji3][emoji3][emoji3].. wengine wakishafikilia hilo anaamua kuishia humu humu mwa kawaida

Nchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo
 
Nchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo
wanakufatilia kila chanzo cha kipato chako.. majuzi tu nimeenda kufanya muamala bank ya NMB hela zangu miamala nafanya halali, ila mlolongo wake mala nenda kwa meneja mala pale.. zaidi ya lisaaa.. ujipendekeze uagiza mkoko wa maana TRA wana weweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…