Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Hahaha ongeza na hii range ya wife
Kama umekaa nje miaka zaidi ya 30 na usafiri binafsi ni jambo la kawaida kuna tatizo gani?

Gari langu la 2010 na watoto wanafanya kazi na wana magari yao pia sasa wewe pambana tu na hali yako labda siku utanitumia hela nikutafutie moja huku who knows

Unataka mpaka tuweke na log book kuthibitisha ama
View attachment 2101101
View attachment 2101103
View attachment 2101105
Safi sana.. tunataka mambo mazuri mazuri kama haya..
 
Sana
Wanataka waje kazi kupiga soga tu
Sasa wapo wa Ghana na wa Zimbabwe wanapiga kazi haswa na kujituma sana
Mbongo anasema kampuni ya ndugu yangu aanaingia kazi mda anaotaka [emoji23]
Ndio kuna mtu nilikuwa naongea nae mda si mrefu kumuambia culture ya mtanzia ndio tatio la maendeleo, uvivu mwingi umwinyi mwingi
 
uzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR [emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu kwa huko ni ngumu labda uwe na biashara kubwa ingawa kipenda roho Dawa

Ila huku pia kuna gari siwezi kuzigusa kwa kweli ila nikitamani kuendesha kuna sehemu unaenda na unalipia kwa masaa
 
Mkuu kwa huko ni ngumu labda uwe na biashara kubwa ingawa kipenda roho Dawa

Ila huku pia kuna gari siwezi kuzigusa kwa kweli ila nikitamani kuendesha kuna sehemu unaenda na unalipia kwa masaa
Huku changamoto nyingi, maana hata TRA wenyewe hawataki tuwe na gari nzuri.. ni shida tupu.. ila wacha tupambane.. kwa mwaka huu binafsi nitachukua gari mojawapo ya ndoto yangu.. japo mapambano makali.. endelea kutu inspire vinaja wenye roho mbaya watajijua.. Bentley Bentayanga linagusika vipi Astorn Martin mkuu 😀😀😀
 
Huku changamoto nyingi, maana hata TRA wenyewe hawataki tuwe na gari nzuri.. ni shida tupu.. ila wacha tupambane.. kwa mwaka huu binafsi nitachukua gari mojawapo ya ndoto yangu.. japo mapambano makali.. endelea kutu inspire vinaja wenye roho mbaya watajijua.. Bentley Bentayanga linagusika vipi Astorn Martin mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]

Wacha weee
Safi sana mwanaume na ndoto eti
Jamaa yangu mmoja ana Bentley continental V8 4.0 2 dr
Ila kwa huku sio ndoto bali inawezekana ukitaka
 
Wacha weee
Safi sana mwanaume na ndoto eti
Jamaa yangu mmoja ana Bentley continental V8 4.0 2 dr
Ila kwa huku sio ndoto bali inawezekana ukitaka
hata huku bongo kama upo serious unavuta, shida TRA mkuu.. unakuta unainunua gari mala mbili 😀😀😀.. wengine wakishafikilia hilo anaamua kuishia humu humu mwa kawaida
 
hata huku bongo kama upo serious unavuta, shida TRA mkuu.. unakuta unainunua gari mala mbili [emoji3][emoji3][emoji3].. wengine wakishafikilia hilo anaamua kuishia humu humu mwa kawaida

Nchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo
 
Nchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo
wanakufatilia kila chanzo cha kipato chako.. majuzi tu nimeenda kufanya muamala bank ya NMB hela zangu miamala nafanya halali, ila mlolongo wake mala nenda kwa meneja mala pale.. zaidi ya lisaaa.. ujipendekeze uagiza mkoko wa maana TRA wana weweee
 
Back
Top Bottom