Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aisee, itakua wabongo walishampeleka kwa babu[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aisee, itakua wabongo walishampeleka kwa babu[emoji1][emoji1]
Wapakistan ndo kazi zao huko?
Safi sana.. tunataka mambo mazuri mazuri kama haya..Hahaha ongeza na hii range ya wife
Kama umekaa nje miaka zaidi ya 30 na usafiri binafsi ni jambo la kawaida kuna tatizo gani?
Gari langu la 2010 na watoto wanafanya kazi na wana magari yao pia sasa wewe pambana tu na hali yako labda siku utanitumia hela nikutafutie moja huku who knows
Unataka mpaka tuweke na log book kuthibitisha ama
View attachment 2101101
View attachment 2101103
View attachment 2101105
Fitna itakuwa ziliingia.. watu wachawi sanaSijamsikia Muda kidogo,aliwahi kunitumia spea za Gari yangu, kipindi flani aliwahi kulalamikiwa Ila sijui ilikuaje.
😄😄😄😄 Itakua aisee chief,maana mkuu black sniper amesema jamaa alikua hatoi ajira kwa wabongo wavivu 😄😄😄Fitna itakuwa ziliingia.. watu wachawi sana
😀😀😀😀 nyie watanzania watu wa hovyo sanaaa.. 😁😁😁😄😄😄😄 Itakua aisee chief,maana mkuu black sniper amesema jamaa alikua hatoi ajira kwa wabongo wavivu 😄😄😄
Fitna itakuwa ziliingia.. watu wachawi sana
we bado hawajapata tu code ya kukuroga 😀😀🤣😄😄😄😄 Itakua aisee chief,maana mkuu black sniper amesema jamaa alikua hatoi ajira kwa wabongo wavivu 😄😄😄
Safi sana.. tunataka mambo mazuri mazuri kama haya..
Ndio kuna mtu nilikuwa naongea nae mda si mrefu kumuambia culture ya mtanzia ndio tatio la maendeleo, uvivu mwingi umwinyi mwingiSana
Wanataka waje kazi kupiga soga tu
Sasa wapo wa Ghana na wa Zimbabwe wanapiga kazi haswa na kujituma sana
Mbongo anasema kampuni ya ndugu yangu aanaingia kazi mda anaotaka [emoji23]
uzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR 😁😁😁Ila wachawi hwapendi haya [emoji23][emoji23]
Ndio kuna mtu nilikuwa naongea nae mda si mrefu kumuambia culture ya mtanzia ndio tatio la maendeleo, uvivu mwingi umwinyi mwingi
Sikio la kufaa 😀😀Halafu mtu akiajiri hata nyumbani watu kutoka jirani wana mind sana wakati sisi ndio wavivu na majizi ya kutupwa
Ni janga la Taifa mkuu
uzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku changamoto nyingi, maana hata TRA wenyewe hawataki tuwe na gari nzuri.. ni shida tupu.. ila wacha tupambane.. kwa mwaka huu binafsi nitachukua gari mojawapo ya ndoto yangu.. japo mapambano makali.. endelea kutu inspire vinaja wenye roho mbaya watajijua.. Bentley Bentayanga linagusika vipi Astorn Martin mkuu 😀😀😀Mkuu kwa huko ni ngumu labda uwe na biashara kubwa ingawa kipenda roho Dawa
Ila huku pia kuna gari siwezi kuzigusa kwa kweli ila nikitamani kuendesha kuna sehemu unaenda na unalipia kwa masaa
Huku changamoto nyingi, maana hata TRA wenyewe hawataki tuwe na gari nzuri.. ni shida tupu.. ila wacha tupambane.. kwa mwaka huu binafsi nitachukua gari mojawapo ya ndoto yangu.. japo mapambano makali.. endelea kutu inspire vinaja wenye roho mbaya watajijua.. Bentley Bentayanga linagusika vipi Astorn Martin mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
hata huku bongo kama upo serious unavuta, shida TRA mkuu.. unakuta unainunua gari mala mbili 😀😀😀.. wengine wakishafikilia hilo anaamua kuishia humu humu mwa kawaidaWacha weee
Safi sana mwanaume na ndoto eti
Jamaa yangu mmoja ana Bentley continental V8 4.0 2 dr
Ila kwa huku sio ndoto bali inawezekana ukitaka
hata huku bongo kama upo serious unavuta, shida TRA mkuu.. unakuta unainunua gari mala mbili [emoji3][emoji3][emoji3].. wengine wakishafikilia hilo anaamua kuishia humu humu mwa kawaida
wanakufatilia kila chanzo cha kipato chako.. majuzi tu nimeenda kufanya muamala bank ya NMB hela zangu miamala nafanya halali, ila mlolongo wake mala nenda kwa meneja mala pale.. zaidi ya lisaaa.. ujipendekeze uagiza mkoko wa maana TRA wana weweeeNchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo