Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wabongo tunaweza umbea tu
πππ Mwanangu mi nasubiri atakaejitokeza kutaka kununua hayo magari nimloge tu mzee,haiwezekani mtu ukose hela ukose hata na ujuzi wa kutengeneza radi za asili?ππuzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR πππ
Niko kwny training ya namna ya kutengeneza radi mkuu πππ, mafanikio nimeanza kuyaona kwa mbaaali hivi πππwe bado hawajapata tu code ya kukuroga πππ€£
Nipo napitia pitia hapa Discover 4 V8 ya 2010.. ππππ.. tuone kama tunaiyona.. mitambo ya kuotea vitotoπππ Mwanangu mi nasubiri atakaejitokeza kutaka kununua hayo magari nimloge tu mzee,haiwezekani mtu ukose hela ukose hata na ujuzi wa kutengeneza radi za asili?ππ
Na huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.Nchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo
Huku bongo Gari za hivyo ukimbeba demu mwanachuo tu kesho yake anaanza kukuita mume wangu,ππ hovyo sana.Nipo napitia pitia hapa Discover 4 V8 ya 2010.. ππππ.. tuone kama tunaiyona.. mitambo ya kuotea vitoto
ππ kamseleleko mkuuuHuku bongo Gari za hivyo ukimbeba demu mwanachuo tu kesho yake anaanza kukuita mume wangu,ππ hovyo sana.
kama vipi wanataka kutuona na gari za milion 25 kushuka chini ππππNa huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.
Na huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.
huyu Juma1967 kumbe ndiye Joshua OK wa Kerege kaweka picha ya Range Rover ya mitandaoni bado tunamshabikia? juzi kaja na Prado TXL mara Passo, OPPA za Kishimundu kitimotoNa hii Honda ilikuwa SUV ya ngapi mkuu?
Thread 'Honda CR-V: Shipa lisilovuma!' Honda CR-V: Shipa lisilovuma!
NomaaWanachuo akishapanda gari tu anaanza kupatwa na matatizo mfululizo. Mara simu mbovu, Ada Hana, kitchen party ya Rafiki yake, anadaiwa Jodi hostel