Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wabongo tunaweza umbea tu
Roho za kwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo tunaweza umbea tu
😄😄😄 Mwanangu mi nasubiri atakaejitokeza kutaka kununua hayo magari nimloge tu mzee,haiwezekani mtu ukose hela ukose hata na ujuzi wa kutengeneza radi za asili?😄😄uzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR 😁😁😁
Niko kwny training ya namna ya kutengeneza radi mkuu 😄😄😄, mafanikio nimeanza kuyaona kwa mbaaali hivi 😄😄😄we bado hawajapata tu code ya kukuroga 😀😀🤣
Nipo napitia pitia hapa Discover 4 V8 ya 2010.. 😎😎😎😎.. tuone kama tunaiyona.. mitambo ya kuotea vitoto😄😄😄 Mwanangu mi nasubiri atakaejitokeza kutaka kununua hayo magari nimloge tu mzee,haiwezekani mtu ukose hela ukose hata na ujuzi wa kutengeneza radi za asili?😄😄
Na huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.Nchi masikini tabu tupu inataka longolongo sana
Kweli lakini ukiamua unavuta tu Ila sio salama kwa gari za uhakika maana unaonekana una mkwanja sana wanaweza kukumaliza kumbe huna utajiri kihivyo
Huku bongo Gari za hivyo ukimbeba demu mwanachuo tu kesho yake anaanza kukuita mume wangu,😄😄 hovyo sana.Nipo napitia pitia hapa Discover 4 V8 ya 2010.. 😎😎😎😎.. tuone kama tunaiyona.. mitambo ya kuotea vitoto
😄😄 kamseleleko mkuuuHuku bongo Gari za hivyo ukimbeba demu mwanachuo tu kesho yake anaanza kukuita mume wangu,😄😄 hovyo sana.
kama vipi wanataka kutuona na gari za milion 25 kushuka chini 😄😄😄😄Na huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.
Na huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.
huyu Juma1967 kumbe ndiye Joshua OK wa Kerege kaweka picha ya Range Rover ya mitandaoni bado tunamshabikia? juzi kaja na Prado TXL mara Passo, OPPA za Kishimundu kitimotoNa hii Honda ilikuwa SUV ya ngapi mkuu?
Thread 'Honda CR-V: Shipa lisilovuma!' Honda CR-V: Shipa lisilovuma!
NomaaWanachuo akishapanda gari tu anaanza kupatwa na matatizo mfululizo. Mara simu mbovu, Ada Hana, kitchen party ya Rafiki yake, anadaiwa Jodi hostel