Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

uzuri uchawi haufanyagi kazi palipo na haki na jasho la haki Hizo ndio gari za kuendesha asee... wa kupuliza unachukua mwaka huu Porsche au RR 😁😁😁
😄😄😄 Mwanangu mi nasubiri atakaejitokeza kutaka kununua hayo magari nimloge tu mzee,haiwezekani mtu ukose hela ukose hata na ujuzi wa kutengeneza radi za asili?😄😄
 
Na huu upuuzi upo Sana tu,Kuna watu wameshaletewa Tax audit/investigation sababu ya kuonekana na magari ya maana.

Ni njaa na roho mbaya yaani anaumia wewe kuwa na ndinga la maana ila akipita mdosi na Benz anampisha kwa heshima zote na woga juu
 
Na hii Honda ilikuwa SUV ya ngapi mkuu?

Thread 'Honda CR-V: Shipa lisilovuma!' Honda CR-V: Shipa lisilovuma!
huyu Juma1967 kumbe ndiye Joshua OK wa Kerege kaweka picha ya Range Rover ya mitandaoni bado tunamshabikia? juzi kaja na Prado TXL mara Passo, OPPA za Kishimundu kitimoto
hebu atuwekee hata picha nyingine ya tyre au plate no. tutamuamini, asije sema tunamuonea wivu
 
Wanachuo akishapanda gari tu anaanza kupatwa na matatizo mfululizo. Mara simu mbovu, Ada Hana, kitchen party ya Rafiki yake, anadaiwa Jodi hostel
 
Back
Top Bottom