Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.

View attachment 2088573

View attachment 2088577

View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Binafsi SUVs nanunua ni Land Cruisers tu. Kwa luxury nanunua 200 au Lexus 570 inayofahamika Tz kama V8. Kamwe haijawahi kuniangusha. Na ina heshima sana sana.. Japo binafsi hata hio heshima siitafuti wala sina haja nayo. Na ni gari hazijawahi kuniangusha kamwe. Na sina hata Hamu ya Land rover.. Range Rovers etc.. Pia natumaini umeshajenga nyumba nzuri. Kuwa na gari zuri na kulipaki kwa nyumba si yako ni akili ya ajabu sana
 
Umevurugwa. Si bure
 
Sisi sio wanafiki kama wewe..kwenye ukwel lazima usemwe hapo tuna hongerea gari iliyo nunuliwa kwa kibubu cha miaka 12
 
Mkuu bandiko lako Lina ukakasi kidogo.
  • picha ya gari ni ya mitandaoni.
  • umenunuwa gari 2021 ,ni gari ya ndoto zako tangu mwaka 2010.
.je hiyo gari ni toleo la mwaka gani?
Hata ukavutiwa kujichanga kwa miaka yote hyo?..
.isije ikawa umeanza kuchanga kununuwa gari kabla hata model hiyo kutengenezwa.[emoji2][emoji2]

Hapa JF kila mtu tajiri.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
UTAOLEWA
 
Wanamwambia ukweli mtupu, kwanza stori zake nyingi za kuunga unga!
 
Wanamwambia ukweli mtupu, kwanza stori zake nyingi za kuunga unga!
Uzuri wa hapa JF tunatunza kumbukumbu.
Utakuta mtu anafunguwa uzi Leo anaomba msaada wa kutengeneza baiskeli yake ya kubebea madafu,

Baada ya mwaka mmoja ameshasahau ,,
anafunguwa uzi wa kumshukuru Mungu kwa kumaliza ghorofa lake mbezi beach.[emoji2][emoji2][emoji2]
 

Lakini ni bahati hiyo pia
Kuna wabunge walikuwa choka mbaya ila ghafla anakutishia maisha kukugonga na V8 na masimango juu
Unajua V8 wewe? [emoji23][emoji23]

Halafu dunia ilivyo mbaya unarudi tena kuanza Alif (A)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…