Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Ndugu yangu umejaa ghilba ya dhahiri. Pole
ukitaka kujua rangi halisi ya roho mbaya, wivu na ghiliba waliyonayo watz, waelezee jambo lolote zuri linalohusu mafanikio yako. watakujia na kila kauli ya kukubeza.

hawa watz wa JF wanaokushambulia, ni reflection ya watz wengi wenye tabia hiyo.

hongera sana mleta mada kwa kumiliki SUV yako ya kwanza. umeni inspire.
 
Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.

View attachment 2088573

View attachment 2088577

View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Mbona hii gari imenunuliwa na mtu kutoka Malawi ? Au na wewe unakaa Malawi? Please see this link on the bottom aliyenunua anatoa positive feedback to BE Forward: Used 2003 LAND ROVER RANGE ROVER VOGUE/GH-LM44 for Sale BK265563 - BE FORWARD
 
Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.

View attachment 2088573

View attachment 2088577

NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Kwa NINI Ujinyime miaka 11 kununua hii gari outdated kiasi hiki? Inasoma 00 km? Kama huna pesa si ungenunua hata toleo la mwaka 2020 mpya? Usijinyime kwa mambo madogo kama haya. Ukifikia kununua gari latest si utajinyima pumzi kabisa? Utaenda kuuza moyo, maini,figo na mapafu?
 
Ni maskini sababu mtu na pesa zako zimejaa benki hadi benki wanakuomba uje uzitumie, huwezi kua na roho za husda za kipuuzi kama hizo..kwanza hata muda huna ..

Na mimi nakuuliza kwanini unadhani ni mhamasishaji, kwamba unadhani hawezi kununua gari au alichosema ni uongo, kwanini iwe ngumu kuamini mtu kanunua gari yake
Roho ya husda haichagui anaweza kuwa nayo tajiri au masikini,

Kuhusu kumuamini mleta mada ni uamuzi tu,naweza kuamini au kutoamini sababu kama nilivyosema humu hatujuani kwahio ukiona mtu anapinga wala usishangae au ukahisi ana husda au ni maskini,ni mawazo yake tu
 
Kuna mtu ameniambia magari toka UK yapo sensitive sana na mafuta hasa diesel. Kwamba yanahitaji mafuta yalio safi sana. Kwamba ukileta gari ya diesel bongo itakusumbua sana kwasababu mafuta ya bongo ni machafu.

Kuna ukweli kwenye hili?

Kuna ukweli sio tu ya UK hata mengine kama ya Japan baadhi
Mafuta ya bongo mengi wanachakachua sana na yanasababisha kuleta hitilafu kwenye engine
Huku Premium diesel ndio nzuri kwa gari za kizamani kick moja tu imewaka
 
According to him, anarecommend kama ntataka kununua gari niangalie yaliotengenezwa kwa ajili ya masoko Japan au USA.
 
Na ukiwa na huyu GTS V8 4.8 Petrol
Utaendelea kukaa macho kwa mda gani?
View attachment 2089364
Mashine sana hii GTS but still naiendea BMW X5 'M' V8 2015 0-100 KPH 4.9' tu rekodi ambayo cayenne, jeep na audi q5 na q7 the same class and manufacture yr wameshindwa kuivunja...GTS salute pia kama ni yako chukua hi [emoji1537] ila BMW X5 hp 555 hata ndinga ya minister ya kijapani hainishiki BMW ni super suv isiyoongopa cayenne v8 comes second kwangu.
 
Kweli mkuu GTS za kuhesabu huku niliko kwa sasa maana jamaa wananiulizia kama naiuza especially tukikutana carwash
Well kuhusu Audis SUVs nimeziendesha sana na ni nzuri pia nazipenda
Kuhusu BMW mimi sio mpenzi wa hizo
Kuna wakati niliendesha ila tatizo lake sio stable na pia hata ufunge madirisha na upo speed utasikia muungurumo wa upepo and I hated it

Hili GTS mzee ukikanyaga accelerator unaona mwili unarudi nyuma kama unavutwa hapo ndio utaona nguvu ya Porsche

Ila kwa kuhitimisha kila mmoja anaangalia ipi anapenda zaidi
 
True inspiration.
 
suburi haters na wajuaji wa jf waanze kuku attack.

thanks for writing an inspirating post.
 
ukitaka kujua rangi halisi ya roho mbaya, wivu na ghiliba waliyonayo watz, waelezee jambo lolote zuri linalohusu mafanikio yako. watakujia na kila kauli ya kukubeza.

hawa watz wa JF wanaokushambulia, ni reflection ya watz wengi wenye tabia hiyo.

hongera sana mleta mada kwa kumiliki SUV yako ya kwanza. umeni inspire.
😄😄 Mnakuaga inspired kiboya.
 
Back
Top Bottom