smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
ukitaka kujua rangi halisi ya roho mbaya, wivu na ghiliba waliyonayo watz, waelezee jambo lolote zuri linalohusu mafanikio yako. watakujia na kila kauli ya kukubeza.Ndugu yangu umejaa ghilba ya dhahiri. Pole
hawa watz wa JF wanaokushambulia, ni reflection ya watz wengi wenye tabia hiyo.
hongera sana mleta mada kwa kumiliki SUV yako ya kwanza. umeni inspire.