Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.

View attachment 2088573

View attachment 2088577

View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Binafsi SUVs nanunua ni Land Cruisers tu. Kwa luxury nanunua 200 au Lexus 570 inayofahamika Tz kama V8. Kamwe haijawahi kuniangusha. Na ina heshima sana sana.. Japo binafsi hata hio heshima siitafuti wala sina haja nayo. Na ni gari hazijawahi kuniangusha kamwe. Na sina hata Hamu ya Land rover.. Range Rovers etc.. Pia natumaini umeshajenga nyumba nzuri. Kuwa na gari zuri na kulipaki kwa nyumba si yako ni akili ya ajabu sana
 
Umevurugwa. Si bure
 
Hii ndio tanzania nayoijua, unasoma comments unashangaa, mtu maskini mwenye wivu na roho mbaya anajua gari kuliko hata kampuni iliyotengeneza, ndio mana kwa hali hii matajiri wengi asilimia kubwa wanaishi maisha fulani ya SIRI sana sababu hii mana unaweza pita na range rover lako utasikia huko kijiweni wameanza , kwanza gari yenyewe inakula mafuta sana, mara spea zake ngumu kupatikana, anayesema hivyo hata baiskeli hana, huko kwenye akaunti benki kuna shilingi 7 na desimali 5
Sisi sio wanafiki kama wewe..kwenye ukwel lazima usemwe hapo tuna hongerea gari iliyo nunuliwa kwa kibubu cha miaka 12
 
Mkuu bandiko lako Lina ukakasi kidogo.
  • picha ya gari ni ya mitandaoni.
  • umenunuwa gari 2021 ,ni gari ya ndoto zako tangu mwaka 2010.
.je hiyo gari ni toleo la mwaka gani?
Hata ukavutiwa kujichanga kwa miaka yote hyo?..
.isije ikawa umeanza kuchanga kununuwa gari kabla hata model hiyo kutengenezwa.[emoji2][emoji2]

Hapa JF kila mtu tajiri.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Pumbafu kabisa, unafiki unaingiaje hapo, gari amekuambia ina kasoro?, umeshawahi kuishi naye ujue anatunzaje mali zake? Punguza kama si kuondoa kabisa chuki ya mafanikio ya watu , itakusaidia sana maishani, pesa sio yako. Kwakweli nazidi kujipatia uhakikisho kua umaskini ni mbaya sana, ndio hivi sasa.
UTAOLEWA
 
Hii ndio tanzania nayoijua, unasoma comments unashangaa, mtu maskini mwenye wivu na roho mbaya anajua gari kuliko hata kampuni iliyotengeneza, ndio mana kwa hali hii matajiri wengi asilimia kubwa wanaishi maisha fulani ya SIRI sana sababu hii mana unaweza pita na range rover lako utasikia huko kijiweni wameanza , kwanza gari yenyewe inakula mafuta sana, mara spea zake ngumu kupatikana, anayesema hivyo hata baiskeli hana, huko kwenye akaunti benki kuna shilingi 7 na desimali 5
Wanamwambia ukweli mtupu, kwanza stori zake nyingi za kuunga unga!
 
Hiyo ndinga hata Mimi nisingepata usingizi tena wiki mzima

Na ukiwa na huyu GTS V8 4.8 Petrol
Utaendelea kukaa macho kwa mda gani?
IMG_4037.jpg
 
Wanamwambia ukweli mtupu, kwanza stori zake nyingi za kuunga unga!
Uzuri wa hapa JF tunatunza kumbukumbu.
Utakuta mtu anafunguwa uzi Leo anaomba msaada wa kutengeneza baiskeli yake ya kubebea madafu,

Baada ya mwaka mmoja ameshasahau ,,
anafunguwa uzi wa kumshukuru Mungu kwa kumaliza ghorofa lake mbezi beach.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Lakini ni bahati hiyo pia
Kuna wabunge walikuwa choka mbaya ila ghafla anakutishia maisha kukugonga na V8 na masimango juu
Unajua V8 wewe? [emoji23][emoji23]

Halafu dunia ilivyo mbaya unarudi tena kuanza Alif (A)
 
Back
Top Bottom