ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
11 years ya kujinyima alafu unanunua gari ya kizamani namna hii!!?
blaza hukusoma hesabu shuleni?
blaza hukusoma hesabu shuleni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi SUVs nanunua ni Land Cruisers tu. Kwa luxury nanunua 200 au Lexus 570 inayofahamika Tz kama V8. Kamwe haijawahi kuniangusha. Na ina heshima sana sana.. Japo binafsi hata hio heshima siitafuti wala sina haja nayo. Na ni gari hazijawahi kuniangusha kamwe. Na sina hata Hamu ya Land rover.. Range Rovers etc.. Pia natumaini umeshajenga nyumba nzuri. Kuwa na gari zuri na kulipaki kwa nyumba si yako ni akili ya ajabu sanaWakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Umevurugwa. Si bureBinafsi SUVs nanunua ni Land Cruisers tu. Kwa luxury nanunua 200 au Lexus 570 inayofahamika Tz kama V8. Kamwe haijawahi kuniangusha. Na ina heshima sana sana.. Japo binafsi hata hio heshima siitafuti wala sina haja nayo. Na ni gari hazijawahi kuniangusha kamwe. Na sina hata Hamu ya Land rover.. Range Rovers etc.. Pia natumaini umeshajenga nyumba nzuri. Kuwa na gari zuri na kulipaki kwa nyumba si yako ni akili ya ajabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo nyoso.... Niliitamani sana hii gari ila kwa haya mashudu humu....Jamii forum hii sisi washika bomba kwenye daladala ndio wakwanza kutoa ushauri humu, mbona yamejaa hapa dsm wengi wanayanunua.
Sisi sio wanafiki kama wewe..kwenye ukwel lazima usemwe hapo tuna hongerea gari iliyo nunuliwa kwa kibubu cha miaka 12Hii ndio tanzania nayoijua, unasoma comments unashangaa, mtu maskini mwenye wivu na roho mbaya anajua gari kuliko hata kampuni iliyotengeneza, ndio mana kwa hali hii matajiri wengi asilimia kubwa wanaishi maisha fulani ya SIRI sana sababu hii mana unaweza pita na range rover lako utasikia huko kijiweni wameanza , kwanza gari yenyewe inakula mafuta sana, mara spea zake ngumu kupatikana, anayesema hivyo hata baiskeli hana, huko kwenye akaunti benki kuna shilingi 7 na desimali 5
UTAOLEWAPumbafu kabisa, unafiki unaingiaje hapo, gari amekuambia ina kasoro?, umeshawahi kuishi naye ujue anatunzaje mali zake? Punguza kama si kuondoa kabisa chuki ya mafanikio ya watu , itakusaidia sana maishani, pesa sio yako. Kwakweli nazidi kujipatia uhakikisho kua umaskini ni mbaya sana, ndio hivi sasa.
Acha madongo manDuh, naona roho inakuuma kweli mamaeh..weka gari yako basi tuione unatembelea gari gani, itakua inagonga milioni 900 huko na ushee au sio
Hahahahah jiongopee tu😅Umaskini wako ni wa kiwango cha lami. Kwa akili hizo za kuwapangia watu pesa zao wanunue unachotaka wewe utakufa maskini tu. Una hata montain bike wewe
Umejinyima 11 years kwa ajili ya hilo dude!Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Wanamwambia ukweli mtupu, kwanza stori zake nyingi za kuunga unga!Hii ndio tanzania nayoijua, unasoma comments unashangaa, mtu maskini mwenye wivu na roho mbaya anajua gari kuliko hata kampuni iliyotengeneza, ndio mana kwa hali hii matajiri wengi asilimia kubwa wanaishi maisha fulani ya SIRI sana sababu hii mana unaweza pita na range rover lako utasikia huko kijiweni wameanza , kwanza gari yenyewe inakula mafuta sana, mara spea zake ngumu kupatikana, anayesema hivyo hata baiskeli hana, huko kwenye akaunti benki kuna shilingi 7 na desimali 5
Hiyo ndinga hata Mimi nisingepata usingizi tena wiki mzima
Uzuri wa hapa JF tunatunza kumbukumbu.Wanamwambia ukweli mtupu, kwanza stori zake nyingi za kuunga unga!
Uzuri wa hapa JF tunatunza kumbukumbu.
Utakuta mtu anafunguwa uzi Leo anaomba msaada wa kutengeneza baiskeli yake ya kubebea madafu,
Baada ya mwaka mmoja ameshasahau ,,
anafunguwa uzi wa kumshukuru Mungu kwa kumaliza ghorofa lake mbezi beach.[emoji2][emoji2][emoji2]