Huyu hakuja kuonyesha ana hela.. Ameonyesha ameweza kudumu kwa ndoto na kuitimiza akisema miaka 11 inamaanisha ni 2010 au 2011.. Nikiangalia watu wengi wanaotuzunguka bado wana maisha yale yale . Wengine hata gari la million 7 hawana ... Anaonyesha kwamba inawezekana ukafanya kitu..Sawa ila hana helaaaa!!! Hilo ndio swala haijalishi anakaba au anaiba ukusanyaji wake ni finyuuu
Ujinyime Miaka 11 halafu uje kuenjoy mwezi??Haya mawazo uchwara, umaskini na ya kijiweni ndio siyapendagi.
Uliwahi kulimiliki?
Unajua mishe zake?
Tuache kutishana...acheni watu waishi ndoto zao hata kwa mwezi inatosha historia imeandikwa.
Ni kwl mkuu,,Lakini ni bahati hiyo pia
Kuna wabunge walikuwa choka mbaya ila ghafla anakutishia maisha kukugonga na V8 na masimango juu
Unajua V8 wewe? [emoji23][emoji23]
Halafu dunia ilivyo mbaya unarudi tena kuanza Alif (A)
Jinsi ulivyo fufufu umeshindwa hata kung'amua kitu rahisi tu nilichoongea.Ujinyime Miaka 11 halafu uje kuenjoy mwezi??
We chizi nini
Ni kwl mkuu,,
Ila tofautisha kubebwa na wanainchi na kupambana mwenyewe.
Au pengine jamaa ameokota pochi la mzungu?
[emoji2][emoji2]
Huyu Joshua Ok ni changamsha genge usmchukulie serious. Yaan rangerover wametoa toleo jipya la 2022 afu yy cjui kaenda nunua la mwaka 70 hlo. Hii story ni chai na ndo mana kapost picha za kudanload11 years ya kujinyima alafu unanunua gari ya kizamani namna hii!!?
blaza hukusoma hesabu shuleni?
Mkono wa mzee
Nawewe umejuaje wanaotoa comment ni masikini ilhali huwajui?au unajuaje kwamba hawajui hio gari?Hii ndio tanzania nayoijua, unasoma comments unashangaa, mtu maskini mwenye wivu na roho mbaya anajua gari kuliko hata kampuni iliyotengeneza, ndio mana kwa hali hii matajiri wengi asilimia kubwa wanaishi maisha fulani ya SIRI sana sababu hii mana unaweza pita na range rover lako utasikia huko kijiweni wameanza , kwanza gari yenyewe inakula mafuta sana, mara spea zake ngumu kupatikana, anayesema hivyo hata baiskeli hana, huko kwenye akaunti benki kuna shilingi 7 na desimali 5
[emoji23][emoji23]Hamna gari hapo!
[emoji23][emoji23]Mtu wa kusave kwa miaka 11 kununua gari ya 50M hawezi kuwa na uchumi wa maana
Hii ni nyumba kabisa
Hii ni nyumba kabisa
Huyu jamaa kwenye uzi wake wa Kerege wa mwaka 2019 kulikua na X-trail na Rav4Lakini ni bahati hiyo pia
Kuna wabunge walikuwa choka mbaya ila ghafla anakutishia maisha kukugonga na V8 na masimango juu
Unajua V8 wewe? [emoji23][emoji23]
Halafu dunia ilivyo mbaya unarudi tena kuanza Alif (A)
Huyu jamaa kwenye uzi wake wa Kerege wa mwaka 2019 kulikua na X-trail na Rav4
Zenyewe sio SUV?
Maana anasema SUV yake ya kwanza ni mwaka jana 2021
Gari Kama ya MoWakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik SUV kwa mara ya kwanza. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili.
View attachment 2088573
View attachment 2088577
View attachment 2088579
NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
Kuna mtu ameniambia magari toka UK yapo sensitive sana na mafuta hasa diesel. Kwamba yanahitaji mafuta yalio safi sana. Kwamba ukileta gari ya diesel bongo itakusumbua sana kwasababu mafuta ya bongo ni machafu.Nilimaliza secondary wakati wa vita vya Uganda
Ni mzee kweli ila bado nadunda na gari hili sio gari la vijana
Road Tax nalipa £600 kwa mwaka (1.8m)
Insurance usiulize ila nalimudu
Niko mzigoni saa hiziView attachment 2089482