Huyu hakuja kuonyesha ana hela.. Ameonyesha ameweza kudumu kwa ndoto na kuitimiza akisema miaka 11 inamaanisha ni 2010 au 2011.. Nikiangalia watu wengi wanaotuzunguka bado wana maisha yale yale . Wengine hata gari la million 7 hawana ... Anaonyesha kwamba inawezekana ukafanya kitu..Sawa ila hana helaaaa!!! Hilo ndio swala haijalishi anakaba au anaiba ukusanyaji wake ni finyuuu
Ila ni wazi JF watu wataonyesha hauna maana .. Lakini huyu jamaa ni wa mfano kabisa...