Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Sawa ila hana helaaaa!!! Hilo ndio swala haijalishi anakaba au anaiba ukusanyaji wake ni finyuuu
Huyu hakuja kuonyesha ana hela.. Ameonyesha ameweza kudumu kwa ndoto na kuitimiza akisema miaka 11 inamaanisha ni 2010 au 2011.. Nikiangalia watu wengi wanaotuzunguka bado wana maisha yale yale . Wengine hata gari la million 7 hawana ... Anaonyesha kwamba inawezekana ukafanya kitu..

Ila ni wazi JF watu wataonyesha hauna maana .. Lakini huyu jamaa ni wa mfano kabisa...
 
Lakini ni bahati hiyo pia
Kuna wabunge walikuwa choka mbaya ila ghafla anakutishia maisha kukugonga na V8 na masimango juu
Unajua V8 wewe? [emoji23][emoji23]

Halafu dunia ilivyo mbaya unarudi tena kuanza Alif (A)
Ni kwl mkuu,,
Ila tofautisha kubebwa na wanainchi na kupambana mwenyewe.
Au pengine jamaa ameokota pochi la mzungu?
[emoji2][emoji2]
 
Ujinyime Miaka 11 halafu uje kuenjoy mwezi??

We chizi nini
Jinsi ulivyo fufufu umeshindwa hata kung'amua kitu rahisi tu nilichoongea.
Endelea kula mlenda
 
Ni kwl mkuu,,
Ila tofautisha kubebwa na wanainchi na kupambana mwenyewe.
Au pengine jamaa ameokota pochi la mzungu?
[emoji2][emoji2]

Umeona eeh
Wengine za urithi au kaiba container la cement who knows [emoji23][emoji23]
 
11 years ya kujinyima alafu unanunua gari ya kizamani namna hii!!?
blaza hukusoma hesabu shuleni?
Huyu Joshua Ok ni changamsha genge usmchukulie serious. Yaan rangerover wametoa toleo jipya la 2022 afu yy cjui kaenda nunua la mwaka 70 hlo. Hii story ni chai na ndo mana kapost picha za kudanload
Kama ni story ya kweli bas angepost hii gari akiwa nayo hapa bongo
 
Watu wanakuponda sana na roho zao mubaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaonaje ujichange tena kwa miaka 11 ijayo uchukue hii hapa, [emoji116]
images.jpg
 
Hii ndio tanzania nayoijua, unasoma comments unashangaa, mtu maskini mwenye wivu na roho mbaya anajua gari kuliko hata kampuni iliyotengeneza, ndio mana kwa hali hii matajiri wengi asilimia kubwa wanaishi maisha fulani ya SIRI sana sababu hii mana unaweza pita na range rover lako utasikia huko kijiweni wameanza , kwanza gari yenyewe inakula mafuta sana, mara spea zake ngumu kupatikana, anayesema hivyo hata baiskeli hana, huko kwenye akaunti benki kuna shilingi 7 na desimali 5
Nawewe umejuaje wanaotoa comment ni masikini ilhali huwajui?au unajuaje kwamba hawajui hio gari?

JF ni social media tu,tunakutana kwa maandishi tu hapa,hata mleta mada unaamini vipi alichosema ni kweli?hata picha iliyowekwa ni ya mtandaoni tu.

Anaweza akawa anahamasisha watu tu humu kama @Kidukulilo aka Bill Lugano
 
Lakini ni bahati hiyo pia
Kuna wabunge walikuwa choka mbaya ila ghafla anakutishia maisha kukugonga na V8 na masimango juu
Unajua V8 wewe? [emoji23][emoji23]

Halafu dunia ilivyo mbaya unarudi tena kuanza Alif (A)
Huyu jamaa kwenye uzi wake wa Kerege wa mwaka 2019 kulikua na X-trail na Rav4
Zenyewe sio SUV?
Maana anasema SUV yake ya kwanza ni mwaka jana 2021
 
Huyu jamaa kwenye uzi wake wa Kerege wa mwaka 2019 kulikua na X-trail na Rav4
Zenyewe sio SUV?
Maana anasema SUV yake ya kwanza ni mwaka jana 2021

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnafukua makaburi vibaya hivyo
 
Nilimaliza secondary wakati wa vita vya Uganda
Ni mzee kweli ila bado nadunda na gari hili sio gari la vijana
Road Tax nalipa £600 kwa mwaka (1.8m)
Insurance usiulize ila nalimudu

Niko mzigoni saa hiziView attachment 2089482
Kuna mtu ameniambia magari toka UK yapo sensitive sana na mafuta hasa diesel. Kwamba yanahitaji mafuta yalio safi sana. Kwamba ukileta gari ya diesel bongo itakusumbua sana kwasababu mafuta ya bongo ni machafu.

Kuna ukweli kwenye hili?
 
Hongera mkuu. Kuna mbunge mmoja Ndasa alikua na Range Rover miaka ya 90,-2000.
Yule jamaa sijui alichukua la mkoppo wa wabunge au alinunua.
Kuna siku majambazi wakataka kuondoka nalo likagoma kuwaka
Wakaliacha.
 
Back
Top Bottom