Siku ya Kwanza kumiliki SUV sikulala!

Kelele za upepo ni insulation, sio stability mkuu!
Gari ambazo ziko highly insulated ni Lexus pako dead silence hata ikikimbia 260KPH
 
Nashukuru kwa hilo
Hao mbona tunao wengi tu, ni kawaida sana

Kuna post ya magari miaka ya nyuma nikaandika tu nilikuwa namilikin Skyline GT back in 80’s mmoja akaandika utakuta hata baiskeli hauna [emoji23][emoji23]

Ila nimezoea

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nampongeza lkn gar sio kuweka mafuta na kuendesha, ni matunzo yaan kama mke mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…