Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika presentation ya kudefend dissertation chuon, inatakiwa kubadilisha sehemu ya research proposal kua past tense, then ndo uje kuendelea na part ya result and discusion. Hivyo watu wanaweka was, were za kutosha. Bas mdada ananza kuwasilisha pale, "goodmorning, my name was xxxx"
yani hata yeye hakuamini alichokisema.
Kuna mwana alienda kudefend research paper kuingia kwenye panel anaulizwa "who are you?".Akajibu Im a defender.
Nakumbuka wakati tupo form 2 pale azaboy...walikuja wageni wazungu....sasa si unajua wazee tupo Chimbo...sasa kuna madogo walikuwa kama wamepishana viswahili....sasa wakati wanarushiana maneno...Mara wageni wakatokea wakiwa na ticha mmoja hivi...mzungu mmoja akawauliza what is the matter..??..
dogo mmoja akajibu....matter is anything that have weight and occupie space....ikabidi wazungu waendelee na shuhuli zao...
duuh kwa kweli unastahili pongezi mimi mbona ningetoka NDUKI tu kwani Seminar presentation ilikuwa na marks ngapi? sidhani kama zinazidi marks 10
Mie nakumbuka form one Kantalamba,nimefika nikawa kiranja,basi nikashika zamu kuongoza assemble,tumeimba nyimbo zote,ikafika muda wa kuwatawanyisha nikasema "you may disappear" badala "you may disperse" basi ilikuwa gumzo. Ticha akaniita chemba kunielekeza umombo. Ha ha ha
hahaha sina mbavu jamani
Hahaaaa kuna mwingine mbunge wa cuf viti maalum alitishaaaa
MgonjwaUkimwi,
Ahsante sana gwiji na karibu sana.
Nadhani hapa umeeleza kwa kirefu sana tofauti ambayo nimeizungumzia hapo juu. Sababu ya kutoa mfano wa sisi yaani waafrika kuwa vipofu tunaojaribu kwenda sambamba na demokrasia iliyoundwa kwa watu wenye vision (mabepari). Ni wakati gani bara Afrika limepoteza demokrasia yake kama sio wakati wa kutawaliwa?...Na isije kuwa hata hiyo elimu tunayopewa ni uwezo wa kutembea Ulaya na kusema sanaaa! huku tukiwa mikono mitupu...Na kama tujuavyo mkono mtupu haulambwi...Je, kuna elimu ya Uzalishaji inayomlenga kipofu!
Binafsi nakubaliana sana na maelezo yako na hata kama kuna mafunzo ktk kujenga demokrasia hii mpya, je hivi kweli hakuna haja ya kufahamu tofauti zetu na kuziacha nje zile ambazo hazimsaidii kipofu!.... sidhani kama shule ya vipofu hutumia vifaa vya elimu sawa na hivyo vya waenye kuona.
Kwa mtazamo huo, naogopa hata kusema hizi project zinazoundwa na viongozi wetu hivi kweli zimeundwa kwa kumlenga na kuzingatia upofu wetu kurahisisha hiyo transition na sio kumjaza majukumu mlemavu na kutegemea ataweza ku - perform sawa na mtu mzima. Je, serikali zetu zimeweza kuweka vipengele vya sheria za kumlinda ama kumpa unafuu kipofu?...haki inayomlenga kipofu dhidi ya mabepari.
Watu wengi tumekuwa tukizungumzia mifano ya China Urusi na nchi nyinginezo ambazo zimepiga hatua na zipo ktk kasi ya ajabu kiuchumi, lakini sote tumeshindwa kuelewa kwamba China hawakuingia Ubepari macho juu. China hawakubinafsisha mali zao za Umma kwa wageni hadi hivi majuzi tu! na miradi mingi ya wageni (foreigner) ni ile mipya ambayo wao hawakuwa nayo kama wajamaa. Urusi ambao mwanzo walipotea step na kuanza kubinafsisha kwa wageni toka mwanzo, walisimamisha zoezi hilo na kuanza kulitazama upya...Sasa hivi wanabinafsisha mali zao za Umma kwa wananchi wazawa kwanza na hao kuingia Ubia na mashirika ya nje. Na mwisho wote kwa pamoja yaani China, Urusi, Malaysia na nchi changa zote kusini mwa Asia isipokuwa India zimeweka wazawa mbele na wageni huingia ubia ama kuanzisha miradi mipya....serikali imeweka sheria kuwalinda wananchi wake (vipofu) nazo ni pamoja na kuhakikisha mzawa lazima ashike zaidi ya asilimia 50 ya shirika!... kazi sasa ipo kwa hao mabepari.. kusuka ama kunyoa!
Note this:- Hakuna hata nchi moja inayopiga hatua kiuchumi kwa kugawa mali zake kwa wageni... isipokuwa nchi za kiafrika. Yes, sisi maskini hatuna uwezo kwa hiyo pia tukumbuke hatuwezi kuchukua mifano ya wengine matajiri wanaobinafsisha mali zao kwa wazawa!... Kwa mtaji wetu huu hakuna mfano bora kabisa wa kusema mbona wale wamefanikisha?
Tanzania tumekubali kwamba sisi ni maskini na serikali tu ndio pekee yenye kiutajiri cha ushikaji.. Serikali ndiyo imeshika Ubia na wageni na sio wananchi! na ndio sababu kubwa uliyoendeleza RUSHWA nchini kwa sababu hakuna mwenye uchungu na hiyo asilimia ya serikali zaidi ya Kiongozi huyo CEO kuwa Chukua Chako Mapema (CCM).
Na mwisho ndio sababu kubwa hata yangu ku-challenge huo Uhuru wetu kwani nilitegemea Uhuru ni kuondokana na hizi imani ama mila za kikoloni ziwe kupitia dini ama Utawala na turudishe tamaduni zetu zenye demokrasia yetu ambayo wageni walitukuta nayo, kisha hapa katikati itafutwe suluhu ya mawasiliano kibiashara baina yetu.