mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Ungegonga kiroba kingetiririka kama maji yaelekeayo bondeni !
Hakuna lolote, me nlitumiaga trick hiyo wkt npo pale IFM nikagonga viroba kipindi hcho zinaingia Power, mbona nlipoambiwa nipite mbele pombe yote iliniishia. Ni mfumo wa elimu tu mbovu, mbona wazazi wetu waliosoma zamani walikuwa wazuri tu hata walioishia form four waliweza kuongea kiingereza. Tatizo lilianza wakati wa Mwinyi, ss na hawa wa shule za jk hz ndo sipati picha itakuaje!