mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Ungegonga kiroba kingetiririka kama maji yaelekeayo bondeni !
swala n kujiamini that's all ata kikwete hajui kmombo ila ndo'vo tu slow but sure. Swala kujiamini tu sema hatujengewi msng ya kujiamini tangu tungali
Mdogo wangu aliandika essay ya kwanza katika kiingereza na kunipa nisahihishe ndipo nikakutana na hii line: "...my first of my girl friend is when I meet her in the night of the moon of July 31, 1992 when my friends and me go to disco toto..."
Nikashikwa na kizunguzungu na kumuuliza alikuwa anamaanisha nini.
Akanijibu: ...demu wangu wa kwanza nilikutana naye usiku wa mwezi July 31, 1992 wakati nilienda disco toto na washikaji..."
mdau moja,pale kwenye kutamka maneno alichekesha umma alipotamka initietivu badala ya inishietivu (iniative)
Kiingereza si masikhara aisee kuna Mzee Mmoja maarufu alishawahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, kisha Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa M... jamaa ngeli ilikuwa haipandi akipata wageni wa kuongea nao kiingereza ama asingizie anaumwa au amsukumie Katibu Tawala ha ha ha... Chezea Lugha wewe
Hakuna lolote, me nlitumiaga trick hiyo wkt npo pale IFM nikagonga viroba kipindi hcho zinaingia Power, mbona nlipoambiwa nipite mbele pombe yote iliniishia. Ni mfumo wa elimu tu mbovu, mbona wazazi wetu waliosoma zamani walikuwa wazuri tu hata walioishia form four waliweza kuongea kiingereza. Tatizo lilianza wakati wa Mwinyi, ss na hawa wa shule za jk hz ndo sipati picha itakuaje!
Siku moja tupo kwenye seminar ya koz moja inaitwa rural agricultural economy maarufu kama YELLOW BOOK kwa waliosoma SUA wataelewa, basi picha moja ilikua imebandikwa ukutani ikapulizwa upepo ikadondoka chini jamaa kule mbele akiwa na maiki alisema "what is that, ooh the picture drop down without becouse" basi tulicheka sana