TheFastest
Member
- Jun 17, 2016
- 86
- 87
So funny!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wanafunzi wa kwanza wa upe tulianza na kimombo tangu darasa la kwanza Ndiyo maana Sasa hivi yai linapanda Ile mbaya... Kwa walio na umri wa zaidi Ya miaka 40 wanafahamu Nini maana Ya upembona mnapenda kumsingizia nyerere? unataka kusema waliosoma kipindi cha nyerere hawajui kiengereza ila waliosoma kipindi cha mtalii kikwete ndiyo mnajua kiingereza? nyerere ndiye aliyeanzisha shule za kata?
Hahahaha umenikumbusha muuza genge mzungu anataka Lady fingers jamaa kagoma kabisa mwambieni muuzaji hayupo wakati yeye ndo muuzaji huku sura kaikunja aisee nilicheka sana
nimejikuta nacheka..... I'm married by two childrens.... Huyo ni mwalimi. Na mwanafunzi angeambiwa ajitambulishe ingekuwa kasheshe kabisahiz kura pia noma, kama kuna ticha mmoja wakati tupo o level walikuja wazungu kutoka marekani walileta vitabu, walimu wakawa wanajitambulisha paredi, maadam mmoja alisema 'my name is madaam sanga, am married by two childrens'
Shikamoo English. Aliyeleta hii lugha huku kwetu ajee aifuate.Kaka its not a loughing matter..
Isije kuwa hata hapo juu nimeshazingua.
Hizo hizo semina nakumbuka tunaenda kwa magroup, sasa tumegawana huyu intro, huyu advantages, hadi conclusion
Sasa jamaa mmoja mwongeaji kweli, mjuaji, jeuri sana. Akachagua eti ye conclusion. Alidai ata summurize yote tutakayoongea. Siku ilipofika pale mbele ilkuwa kama ngonjera
Wa kwanza katoa definition tu, kamaliza eti ndo intro,
Wapili, watatu........ wacha afike wa conclusion Duuh alipofika tu akasimama pale akasema
"Conclusion, akakaa kimya kdg then Thank you."
Siku moja tupo kwenye seminar ya koz moja inaitwa rural agricultural economy maarufu kama YELLOW BOOK kwa waliosoma SUA wataelewa, basi picha moja ilikua imebandikwa ukutani ikapulizwa upepo ikadondoka chini jamaa kule mbele akiwa na maiki alisema "what is that, ooh the picture drop down without becouse" basi tulicheka sana
Unaweza ukajikuta.Darasani mkojo umekubana nusu ya kujikojolea. Ukikumbuka kuomba ruhsa ni kwa kingereza unajikuta. Unabana mkojo. Hata somo unalofundishwa linakuwa hulielewi tena. Unawaza mda wa kutoka uwahi toilet. bora ningezaliwa KENYA tuSitasahau siku nilimuomba ruhusa second master na kumwambia " my headache is paining" doh
Niliwahi kumttongoza demu kumbe mzambia hajui kiswaHili nilitokaje nduki
Ina maana na wao ni kingereza kwa ni shigdaaa???Siku pale Bunge la Katiba waseme waongee kiingereza tu kutachimbika watabaki Mzee 6 & Membe peke yao
Ina maana na wao kingereza kwa ni shigdaaa???Siku pale Bunge la Katiba waseme waongee kiingereza tu kutachimbika watabaki Mzee 6 & Membe peke yao
Ina maana na wao kingereza kwa ni shigdaaa???Siku pale Bunge la Katiba waseme waongee kiingereza tu kutachimbika watabaki Mzee 6 & Membe peke yao
aseee hivi leo mmekunywa viroba vya mwisho mwisho? yaani kila anae reply ni vikesho tu.....penda sana jf!!!Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kwenda Interview ya Bank Teller CRDB pale Azikiwe daah sijui ndo kiingereza au uoga maana nilikuwa nikiulizwa swali najibu kwa sauti kubwa kama napiga ADHANA MSIKITINI (Swalaa Swalaa saa 11 alfajiri) mpaka yule HR akaniambia ndugu hebu RELAX hiii sio vita!! si unajua tena umemaliza shule umekaa mtaani kazi huna ghafla uaitwa interview wee nilikremu vitu balaa kufika tu mi natapika hata nisivyoulizwa
niliwambia form four kuandika narrative essay kuhusu kwenda tour serengeti national park. nikasema wamalizie na sentensi...it was a good day indeed...daaa nilichoka na hivyo vingeleza...mmoja akaanza sas....long period ago iam.go serengeti national park to look animals......i see many many animals one tall and cheter eat meet....jamani nyie achen tu